wailer hov
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 286
- 409
La Saba DMtoa post bila shaka ni muhitimu wa darasa la saba
Watoto wa saizi wanawahi kushika smart phone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La Saba DMtoa post bila shaka ni muhitimu wa darasa la saba
Watoto wa saizi wanawahi kushika smart phone
Wabongo [emoji119]Mtoa post bila shaka ni muhitimu wa darasa la saba
Watoto wa saizi wanawahi kushika smart phone
Inaonekana kama vile unaamini duniani watumia gesi ni watu wa Ulaya tu.. Kuna binadamu kwa mabilioni nje ya Ulaya na MarekaniWewe inaonekana upo gizani.
Mataifa ya Ulaya yanafanya kila jitihada kupata vyanzo vipta vya gas. Vita hii ikienda mpaka mwishoni mwa 2023, Urusi itashuhudia anguko kubwa la uchumi wake.
Kuna bomba la gas linajengwa toka Qatar kwenda Ulaya, toka Nigeria mpaka Ulaya. Miradi hiyo ikikamilika, Ulaya haitategemea gas ya Urusi. Pia kuna miradi kadhaa ya namna hiyo inaendelea kati ya Norway na nchi nyingine za Ulaya.
Mataifa haya ya Ulaya yanaamini sana katika akili zao kuliko mali asilia. Tulitaifisha migodi ya natural mica hapa Tanzania toka kwenye makampuni yao tukijua lazima watatupigia magoti, wakaja na synthetic mica. Hata gas isipokuwepo kabisa, mwishoni watakuja na suluhisho.
Sasa mkuu we mwenyewe hapo ukute hutegemei gas kwa matumizi yako hata 50%.Inaonekana kama vile unaamini duniani watumia gesi ni watu wa Ulaya tu.. Kuna binadamu kwa mabilioni nje ya Ulaya na Marekani
W Labani ww🤨Mtoa post bila shaka ni muhitimu wa darasa la saba
Watoto wa saizi wanawahi kushika smart phone
Uyo jamaa ni mwehu achana naye wala asikupe shida mzee mpotezee kabisa sasa uyo mtu anayeandika vitu kama ivo huoni kuwa hajielewi yaani ni empty set chiz fresh uyo achana nayeMkuu Bams ona hoja za mashabiki wa Putin, wengi ni empty head hakuna wanachojua, wao wanachojua ni ushoga tu.
Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote.
Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama ilivyo sasa. Kwa sasa anawaza sana jinsi ya kuepukana na aibu ya kupigwa na Ukraine. Juzi hapa alichukua hatua ya kulipiza kisasi na kupiga miji katika maeno ya raia, jambo ambalo alijua kabisa ni kosa kubwa sana katika sisa za kimataifa. Anatapatapa (desparate) na sasa kuna wasiwasi nje na ndani ya Urusi kwamba anaweza kutumia silaha za nuklia.
Mafanikio ya Ukraine yametokana na silaha sa kisasa sana tuka NATO. Ni silaha ambazo huwezi hta kukificha kifaru, na zinafanya Ukraine waone kila sehemu silaha za Urusi zilipo na kuzipiga wanavyotaka. Urusi ndio sasa wanatambua teknolojia ya NATO kwenye kuziona silaha zake iko juu sana. Kutumia vifaru kwenye vita ni sawa na kuamua kujiua! Ukraine amepiga maghala ya silaha karibu yote yanayoonekana katika sehemu zilizochukuliwa na Urusi, na lengo sasa ni kuizuia Urusi kupeleka silaha zaidi maeneo hayo, ndio maana wanaharibu madaraja.
Na juzi hapa kajaribu kujikosha na kusema nchi za Ulaya bado zinaweza kuendelea kutumia gesi ya Urusi maana kuna bomba lipo kusafirisha gesi hii kupitia Germany. Putin ameanza kulia poo lakini Wajerumani wamekataa ofa yake.
Na pia Ulaya imeamua kwamba hata vita ikiisha hawataki tena kuitegemea Urusi kwa gesi na mafuta. Hivyo hata vita ikiisha na Putin bado akawa raisi, hali ya uchumi kwa Urusi haitakuwa nzuri kwa kuwa atakuwa na mafuta na gesi kwa wingi bila kuwa na sehemu za kuyauza. Hili litaporomosha sana bei ya mafuta na gesi duniani. Saud Arabia kwa kutambua hili ameanza kujiweka karibu na upande wa Ukraine. Wamewapa USD 400 milioni kukabili athari za makombora ya Urusi kwa wananchi.
Katikati ya mafanikio ya kivita ya Ukraine, nchi hiyo na Ulaya wanatambua kwamba hata kama Ukraine wakifanikiwa kuyaondoa majeshi ya Urusi Ukraine na kurudisha maeneo yote huku Putin akiendelea kuwa Raisi wa Urusi, kuna sku atarudi tena akiwa amejiandaa vizuri zaidi na vita itakuwa mbaya zaidi. Kwa hiyo wanaona suluhisho la kudumu ni Putin kutokuwa raisi wa Urusi, eidha kwa kulazimishwa kuondoka, au ikibidi kuuwawa (assassination). Wanasema hili ndilo lilikuwa lengo la vikwazo vya uchumi kwa Urusi na matajiri wa Urusi, na lazima lifanikiwe ili amani ipatikane.
Ndani ya Urusi, kutambua kwamba kuendelea kwa Putin kuwa raisi wa Urusi ni janga litakaloendelea kuwakabili hata kama vita na Ukraine ikiisha, kumeanza kuleta vuguvugu wanalotaka mataifa ya Ulaya - Putin aondoke kwa njia moja au nyingine. Apinduliwe? Auwawe? Moja kati ya haya mawili linakuja na lita
Yote yamesemwa ndani ya Biblia. Marekani na Washirika wake Mfalme wa Kusini; na atabaki hivyo mpaka mwisho wa mfumo Juu. Urusi na Washirika wake Mfalme wa Kaskazini; ingawa watajitutumua wawe world superpower hawatafanikiwa. Also watch the space about what is going on in Iran especially and China is also going thereathiri sana bei ya mafuta, hasa kuitelemsha. Watch this space
Yaani sisi waafrika tujielewe kwa kushabikia ujinga wa putin kuvamia nchi nyingine ambayo iko huru kabisa kama sisi hatujielewi basi yeye ni chizi kabisa yaani hamna kitu kichwan alafu kabla hujandika ugoro wako tena apa jukwaani jaribu kuwa unajielimisha basi ata kidogo je unafahamu matimizi ya STINGER , je unafahamu matumizi ya JAVELLIN, je unafahamu matumizi ya NLAW , je unafahamu matumizi ya HIMARS mzee wangu ama umeamua gu kujiropokea kama mnywa gongo ama chibuku mzee ukirudia tena kuandika pumba nakuignore leta hoja za vitu unavyovifahamu na siyo unaandika ujinga tu apa kajielimishe kwanza na ufahamu kwa usahi kazi na matumizi ya silaha izi zifutavyoYaani unasyongelea Urus kama unaongelea mavi.
Ulizia vipi HIMARS zimeishia wapi? Urus imeonesha uimara mkubwa sana, maana kipekee imeweza kukabiliana na Madola karibia 40 yenye nguvu.
Uchumi wa Ulaya umedolola na inflation ni kubwa sana, nilikuwa huku wiki kama tatu tuache utani, Uchumi wa Uingereza unasuasua, Marekani inegeukana na Saudi Arabia, Ruble ya Urus imezidi kuimarika katikati ya vikwazo.
Swala la chakula duniani tumeona, Urus ndo ana karata muhimu hapa duniani, Marekan kapigana vita kibao lkn dunia haikuwahi kutikisika hivi.
Maghara ya silaha Ulaya yapo depleted, mnasema silaha za Urus nidhaifu, are you serious guys?
Stingers, hiwitzers, Juveline, HIMARS zote pamoja na mifumo ya ulinzi imeshindwa kumzuia Putin kupiga popote hapo Ukraine.
Saivi ni Urus Vs NATO jiulize kama ingekuwa walau Ulaya tu bila Marekani wangeweza kuhimili?
Mpaka leo Marekani kashatumia zaidi ya dola bilion 18 kijeshi hapo Ukraine yaani trilion zaidi ya 40 lkn bado Urus imeyachukua maeneo manne waziwazi na yamepiga kura Ukraine akiwa anaona na Ulaya wakibweka tu.
Dunia hii tumejua wazi kuwa Urus imeweza kuitikisa Ulaya kisawasawa na hapa tunazungumza kama mzaha lkn Ulaya inaweza kuwa deindustrialized kama hujui Marekani anatamani hili jambo litokee ili Ulaya iendelee kuwa nyanya kwake.
Yote kwa yote sisi ni watoa maoni, Putin kajitaidi kwa kiasi chake lkn pia Ulaya na Marekani hawakujua kama Uchumi wao ungeweza kutikiswa kiasi hiki China anafurahia tu huu mpalaganyiko.
Afrika hatujielewi badala ya kutumia nafasi hii vizuri tupo kupinduana tu huko Afrika magharibi, mtoto wa Mseven anaongea utoto tu anapandishwa vyeo..very hopeless
Badilisha DIAPER wewe, ndio urudi hapa jukwaani ukiwa msafi.Mkuu Bams ona hoja za mashabiki wa Putin, wengi ni empty head hakuna wanachojua, wao wanachojua ni ushoga tu.
Nampongeza putin kupigana na ulaya na marekani na bado anahimili vishindo.Badilisha DIAPER wewe, ndio urudi hapa jukwaani ukiwa msafi.
Yule ni mwamba na tunashukuru Mungu Sana kwa Maisha ya Kamanda Vladimir Putin.Nampongeza putin kupigana na ulaya na marekani na bado anahimili vishindo.
Labda awe yule wa chato sio huyu tunaye mjua.Lifanyike tu mwamba apotelee uko gizani
We umemsikia nani hizi habari? Waache kutumia gesi Ili waokote kuni Kwa ajili ya kuotea moto majira ya baridi? Unawazimu bila shaka .
Nilikuwa namaanisha kuna wanunuzi wengine wengi wakubwa wa gesi na mafuta ya urusi zaidi ya Ulaya na MarekaniSasa mkuu we mwenyewe hapo ukute hutegemei gas kwa matumizi yako hata 50%.
Lakini wao ni asilimia 100% wanatumia gas kwa hiyo kuuza gas ni faida mno na ile ni sehemu iliyo endelea sana.
Na jambo lingine tambua pia mataifa mengi yaliyo baki yana gas yao kiasi.
Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote.
Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama ilivyo sasa. Kwa sasa anawaza sana jinsi ya kuepukana na aibu ya kupigwa na Ukraine. Juzi hapa alichukua hatua ya kulipiza kisasi na kupiga miji katika maeno ya raia, jambo ambalo alijua kabisa ni kosa kubwa sana katika sisa za kimataifa. Anatapatapa (desparate) na sasa kuna wasiwasi nje na ndani ya Urusi kwamba anaweza kutumia silaha za nuklia.
Mafanikio ya Ukraine yametokana na silaha sa kisasa sana tuka NATO. Ni silaha ambazo huwezi hta kukificha kifaru, na zinafanya Ukraine waone kila sehemu silaha za Urusi zilipo na kuzipiga wanavyotaka. Urusi ndio sasa wanatambua teknolojia ya NATO kwenye kuziona silaha zake iko juu sana. Kutumia vifaru kwenye vita ni sawa na kuamua kujiua! Ukraine amepiga maghala ya silaha karibu yote yanayoonekana katika sehemu zilizochukuliwa na Urusi, na lengo sasa ni kuizuia Urusi kupeleka silaha zaidi maeneo hayo, ndio maana wanaharibu madaraja.
Na juzi hapa kajaribu kujikosha na kusema nchi za Ulaya bado zinaweza kuendelea kutumia gesi ya Urusi maana kuna bomba lipo kusafirisha gesi hii kupitia Germany. Putin ameanza kulia poo lakini Wajerumani wamekataa ofa yake.
Na pia Ulaya imeamua kwamba hata vita ikiisha hawataki tena kuitegemea Urusi kwa gesi na mafuta. Hivyo hata vita ikiisha na Putin bado akawa raisi, hali ya uchumi kwa Urusi haitakuwa nzuri kwa kuwa atakuwa na mafuta na gesi kwa wingi bila kuwa na sehemu za kuyauza. Hili litaporomosha sana bei ya mafuta na gesi duniani. Saud Arabia kwa kutambua hili ameanza kujiweka karibu na upande wa Ukraine. Wamewapa USD 400 milioni kukabili athari za makombora ya Urusi kwa wananchi.
Katikati ya mafanikio ya kivita ya Ukraine, nchi hiyo na Ulaya wanatambua kwamba hata kama Ukraine wakifanikiwa kuyaondoa majeshi ya Urusi Ukraine na kurudisha maeneo yote huku Putin akiendelea kuwa Raisi wa Urusi, kuna sku atarudi tena akiwa amejiandaa vizuri zaidi na vita itakuwa mbaya zaidi. Kwa hiyo wanaona suluhisho la kudumu ni Putin kutokuwa raisi wa Urusi, eidha kwa kulazimishwa kuondoka, au ikibidi kuuwawa (assassination). Wanasema hili ndilo lilikuwa lengo la vikwazo vya uchumi kwa Urusi na matajiri wa Urusi, na lazima lifanikiwe ili amani ipatikane.
Ndani ya Urusi, kutambua kwamba kuendelea kwa Putin kuwa raisi wa Urusi ni janga litakaloendelea kuwakabili hata kama vita na Ukraine ikiisha, kumeanza kuleta vuguvugu wanalotaka mataifa ya Ulaya - Putin aondoke kwa njia moja au nyingine. Apinduliwe? Auwawe? Moja kati ya haya mawili linakuja na litaathiri sana bei ya mafuta, hasa kuitelemsha. Watch this space
Maandamano yanaendelea Ufaransa, Jamhuri ya Czech, ujerumani Italia nk kote huko viwanda vingi na biashara vilivyokuwa vinategemea gesi ya bei chee toka Urusi viko mbioni kufungwa. Hii inaashiria tafran kubwa watu kupoteza ajira lakini pia kupanda sana kwa bei za nishati na mfumko wa bei.. Itawachukua ulaya mda kidogo kupata mbadala wa gesi bei chee kama ya Urusi (wameanza kuwapiga mkwara wazalishaji wengine manunda kama Saudia) Kuwawekekea vikwazo na mibinyo mingine lukukiKuna mijitu humu inaota ndoto za Abunuasi, wafaransa wana nchi wameandamana kushinikiza serikali yao ijitoe katika kuisaidia Ukrain!
Maana mahitaji yamepanda bei maradufu!