Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani.
Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao.
Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo.
Kwa sasa nchi kama urusi imeishiwa wanajeshi na mpaka imekuwa na mawakala ambao wapo kenya.
Je kwetu tunavyopenda pesa hii serikali na hapo hapo kwa haya ya kusema tunaonewa wivu,kwa sasa nchi yetu kawa mshirika na urusi.