Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Ye alikuwa anakuja unapokaribia uchaguzi tu na kuondoka mara unapokwisha !
 
Shida ya act kama ilivyo cdm Wana mikataba ya Siri ya kumwachia mama apite bila kupingwa 2025

Labda itokee miujiza mikataba. Haramu ivunjike lolote linawezekana chini ya jua


Watumishi tunazidi kusali na kuomba ili kuwafarakanisha ili hii mikataba haramu ivunjike
Zitto na January ni marafiki,fikiria kisha pata jibu
 
Kati ya mbowe na Lisu kuna mmoja ni agent na mwingine mzalendo

Kazi ya agent ni kuweka sawa mambo ya kijani pale yanapoharibika

Na agent tayari ameshajulikana. Analilia maridhiano kila siku.
 
Kwanza wajue, Lissu akisepa kwenda ACT basi anasepa na chadema mikoa mingi tu hasa ya kanda ya kati na kanda ya ziwa.

Nadhani atasepa na CHADEMA yote tatu kwa pamoja. Kuna watu wanaogopa kuongea watamkosea heshima Mbowe ila wamekaa kimya hawamuungi mkono.
 
Shida ya act kama ilivyo cdm Wana mikataba ya Siri ya kumwachia mama apite bila kupingwa 2025

Labda itokee miujiza mikataba. Haramu ivunjike lolote linawezekana chini ya jua


Watumishi tunazidi kusali na kuomba ili kuwafarakanisha ili hii mikataba haramu ivunjike

Na hapo ndipo mtego ulipo. ACT hawaeleweki kanisa.
 
Akiamua kwenda ACT atakuwa amejimaliza mwenyewe pia kisiasa.

Kwanza hawataelewana na siasa za Zitto za Umoderate kuliko hata za FAM .... Huyu Zitto anateuliwa mpaka kuwa Mjumbe wa KIKOSI KAZI ....!!?

Pili Atacrsh na na Wazanzibar. Wote ni wajuaji .....!!

Ni Shida Sana Mkuu wangu. Ndio maana nimewaomba wajumbe watulie wafanye maamuzi ya kukiokoa chama.
 
Shida ya act kama ilivyo cdm Wana mikataba ya Siri ya kumwachia mama apite bila kupingwa 2025

Labda itokee miujiza mikataba. Haramu ivunjike lolote linawezekana chini ya jua


Watumishi tunazidi kusali na kuomba ili kuwafarakanisha hii mikataba haramu ivunjike

Kweli Mkuu. Tuendelee kuomba
 
Kati ya Lissu na Slaa nani alikuwa na watu on ground achana na hawa keyboard warriors.
Dr Slaa ni Padre so lazima awe na wafuasi wachache na ndio sababu ilikuwa rahisi sana Mbowe kumtema

Lisu hata dhehebu lake limejulikana juzi tu pale Singida ndio sababu hadi Waislamu akina Shehe Ponda wanamuunga mkono bila hata kujiita Ustaadh Abubakar 😂😂😂
 
Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni.

Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani. Maana ataipa back up huku bara na kuwa chama chenye ushawishi mkubwa, na kule visiwani tayari ACT Ina mizizi. Ndipo kwama mara ya kwanza tutapata chama chenye kuungwa mkono Zanzibar na bara.

Hili Jambo nimelitafakari kwa kina Sana nikawaza itakuwaje?. Naomba Wana CHADEMA wenzangu tufanye uchaguzi kwa haki, atakaye shindwa aone ameshindwa kwa haki na tusikubali pesa zikatufanya tufanye maamuzi batili. Tuiangalie CHADEMA ya kesho sio Leo au Tusifanye uchaguzi wa kumpendeza mtu hapana, tufanye uchaguzi kwa Nia ya kuleta mabadiliko ndani ya CHADEMA.

Wakati wetu ni Sasa, tusiruhusu chama chetu kikapotea au kufa kwa sababu za kibinafsi za maslahi ya wachache, tumchague mgombea mwenye maono mapya na mwenye kujua uchungu wa harakati. Tusifanye makosa kabisa, Tanzania inatutegemea. Tusurudie makosa ya RENAMO Msumbiji mpaka ikapitwa na chama Cha PODEMOS kwa ushawishi na uungwaji mkono.


NB.
Siiamini ACT na Wala sidhani Kama kina Nia ya dhati ya kuiondoa CCM madarakani.
dah!
kinyonge sana.

sasa gentleman,
unashauri wanachadema wamchague kiongozi mwenye maono na uchungu, bila kumtaja si inakua ni unafiki tu?

Halafu,
ni vizuri ukaacha upotoshaji, Tanzania ipi itakutegemea wewe na wapiga kelele wenzio wenye chuki na makasiriko kwa kila alie na wazo au mitazamo tofauti nawe? Tz itategemea kwa lipi kwanza kwa mfano?

Kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi hana nafasi chadema wala ACT, achana na kujipa matumani potofu na kupotosha wengine 🐒
 
Sisi huku kanda ya ziwa tunakwenda na Lissu. Wenje alishinda uenyekiti wa kanda ya Victoria kwa figisu na magumashi na ndiyo ameshajitangaza kuwa ni team Sultan hivyo tunajua cha kufanya. Wacha Sultan abaki na wapambe ambao hawawezi kumpa madiwa,wabunge na kura za urais.

Mimi namuona Wenje kama mtu aliyekuja kumuharibia nafasi Pambalu. Maana ametangaza pia kugombea ubunge Nyamagana. Pambalu alikuwa anachukua asubuhi jamaa kaja huku kumuharibi Kama alivyofanya kwenye Kanda ya Victoria.
 
Hapana LIssu hatohama chadema na simshauri ahame. Obviously Lissu ana political longevity kuliko Mbowe, kwahiyo hata akishindwa abaki tu kama Mnyika (enzi zile kapokonywa ukatibu akapewa mashinji) na Mbowe akitoka kutakua hakuna mtu influential kuliko Lissu.

Mbona 2017-2020 alikua ICU lakini alipoamka akakiwasha uchaguzi wa 2020. Naamini akibaki chadema sio tu ataachiwa kugombea mwakani bali atashinda kwa kishindo uchaguzi wa mwenyekiti 2029!!

Kweli kabisa Mkuu. Naamini atabakia chamani.
 
Usijaribu kutisha wapiga kura na Taasisi kubwa kama CDM.

Nje ya CDM Lissu ni WA kawaida sana, hakuna mtu aliye mkubwa kuliko chama,

Yu wapi Mrema, Yu wapi Lipumba, Yu wapi Mbatia, Yu wapi Zitto ?

Muhimu ni mchakato wa uchaguzi uheshimiwe, ashindwaye atulie na kusubiri Muda sahihi ufike.

Hujifunzi Kwa Jakaya Kikwete? Mbona aliposhindwa na Mkapa, hakujitutumua, akisubiri time yake?

Ifike wakati wanachama na viongozi muwe na akili, ustahimilivu.

Ni hayo tu.

Mbona unatumia mifano siyo? Huwezi kumlinganisha Lissu na Lipimba, Mrema, Zitto. Hao unatakiwa kuwalinganisha na Mbowe maana wamekuwa Viongozi wakuu kwenye vyama vyao.

Halafu nimetoa maoni yangu naomba uyaheshimu.
 
Mimi naona kama ni kifo cha upinzani. ATC haina influence kubwa tanzania bara. Figisu atafanyiwa na huenda akaondoka kwenye chama lakini sidhanii kama atadumu sana kwenye siasa na huenda pia chadema nayo itapoteza pakubwa hivyo itakuwa ni hasara kote kote ila ushindi kwa wanaofaidika na posho.

Inauma Sana kwamba upinzani hauendi mbele ni nyuma tu siku zote.
 
Kati ya Lissu na Slaa nani alikuwa na watu on ground achana na hawa keyboard warriors.

Slaa aliondoka kipindi Cha uchaguzi na alikisema chama vibaya. Au umesahau press conference za Slaa
 
Wapiga kura watafanyaje makosa na wao kukumu lao ni kumchagua mmoja wa wagombea kuwa mwenyekiti? Au kwako wajumbe kufanya makosa ni pale wasipomchagua huyo mwehu wako unayempigia debe kuwa mwenyekiti?

Umekula? Punguza mihemko. Kasome nilichoandika vizuri. Shida unasoma huku ukiwa na njaa huwezi kuelewa.
 
Back
Top Bottom