Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Ye alikuwa anakuja unapokaribia uchaguzi tu na kuondoka mara unapokwisha !
 
Zitto na January ni marafiki,fikiria kisha pata jibu
 
Kati ya mbowe na Lisu kuna mmoja ni agent na mwingine mzalendo

Kazi ya agent ni kuweka sawa mambo ya kijani pale yanapoharibika

Na agent tayari ameshajulikana. Analilia maridhiano kila siku.
 
Kwanza wajue, Lissu akisepa kwenda ACT basi anasepa na chadema mikoa mingi tu hasa ya kanda ya kati na kanda ya ziwa.

Nadhani atasepa na CHADEMA yote tatu kwa pamoja. Kuna watu wanaogopa kuongea watamkosea heshima Mbowe ila wamekaa kimya hawamuungi mkono.
 

Na hapo ndipo mtego ulipo. ACT hawaeleweki kanisa.
 

Ni Shida Sana Mkuu wangu. Ndio maana nimewaomba wajumbe watulie wafanye maamuzi ya kukiokoa chama.
 

Kweli Mkuu. Tuendelee kuomba
 
Kati ya Lissu na Slaa nani alikuwa na watu on ground achana na hawa keyboard warriors.
Dr Slaa ni Padre so lazima awe na wafuasi wachache na ndio sababu ilikuwa rahisi sana Mbowe kumtema

Lisu hata dhehebu lake limejulikana juzi tu pale Singida ndio sababu hadi Waislamu akina Shehe Ponda wanamuunga mkono bila hata kujiita Ustaadh Abubakar 😂😂😂
 
dah!
kinyonge sana.

sasa gentleman,
unashauri wanachadema wamchague kiongozi mwenye maono na uchungu, bila kumtaja si inakua ni unafiki tu?

Halafu,
ni vizuri ukaacha upotoshaji, Tanzania ipi itakutegemea wewe na wapiga kelele wenzio wenye chuki na makasiriko kwa kila alie na wazo au mitazamo tofauti nawe? Tz itategemea kwa lipi kwanza kwa mfano?

Kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi hana nafasi chadema wala ACT, achana na kujipa matumani potofu na kupotosha wengine 🐒
 

Mimi namuona Wenje kama mtu aliyekuja kumuharibia nafasi Pambalu. Maana ametangaza pia kugombea ubunge Nyamagana. Pambalu alikuwa anachukua asubuhi jamaa kaja huku kumuharibi Kama alivyofanya kwenye Kanda ya Victoria.
 

Kweli kabisa Mkuu. Naamini atabakia chamani.
 

Mbona unatumia mifano siyo? Huwezi kumlinganisha Lissu na Lipimba, Mrema, Zitto. Hao unatakiwa kuwalinganisha na Mbowe maana wamekuwa Viongozi wakuu kwenye vyama vyao.

Halafu nimetoa maoni yangu naomba uyaheshimu.
 

Inauma Sana kwamba upinzani hauendi mbele ni nyuma tu siku zote.
 
Kati ya Lissu na Slaa nani alikuwa na watu on ground achana na hawa keyboard warriors.

Slaa aliondoka kipindi Cha uchaguzi na alikisema chama vibaya. Au umesahau press conference za Slaa
 
Wapiga kura watafanyaje makosa na wao kukumu lao ni kumchagua mmoja wa wagombea kuwa mwenyekiti? Au kwako wajumbe kufanya makosa ni pale wasipomchagua huyo mwehu wako unayempigia debe kuwa mwenyekiti?

Umekula? Punguza mihemko. Kasome nilichoandika vizuri. Shida unasoma huku ukiwa na njaa huwezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…