Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Wee Economist naona kama umelipwa na Lissu ulete uongo hapa.Lissu alikuwa ughaibunu huko muda mrefu na chama kiliendelea bila yeye sasa sioni kishindwe vipi bila yeye !

Nimelipwa shilingi ngapi? Wewe kama inalipwa na Mbowe usidhanie kila mtu analipwa. Kumbuka 2020 Mbowe alitangaza kugombea urais ila Lissu alipochukua fomu Mbowe akaingia gizani. Jiulize Kwa Nini.
 
Ukitaka kuchukua dola lazima taasisi yako ui-test mwenyewe ama iwe tested. Endapo CDM itapita salama hapa basi mtapewa nchi na wanachi maana mtakuwa mmeiva.
Naamini 100% yoyote atakayeshindwa hataondoka bali atabakia kukijenga chama kwa umoja maana itakuwa zimebakia miezi kadhaa tu kwenda uchaguzi Mkuu.

Sitaki kuamini kwamba huu ni mpango wa Lissu na Mbowe ku test taasisi yao kama inaweza kuhimili misukosuko.

Litakuwa kosa kubwa la mwaka kwa CCM kudhami CDM inakwenda kugawanyika baada yq uchaguzi mkuu wao.
 
Kati ya Lissu na Slaa nani alikuwa na watu on ground achana na hawa keyboard warriors.
Wakati Slaa anaondoka ilikuwa ni uchaguzi wa cdm, wafuasi wa cdm walikuwa wamemchoka Mbowe kama sasa? Nionyeshe mahali ambapo wafuasi wa cdm walionyesha kumkataa Mbowe wazi wazi kama sasa.
 

Kweli kabisa Mkuu.
 
LISU AKIKATWA HATAENDA ACT BALI ATAANZISHA CHAMA CHAKE NA KUKUSANYA TOKA VYAMA VYOTE. HAPO NDIPO UTAMU WA 2025 ULIPO
 
Mimi namuona Wenje kama mtu aliyekuja kumuharibia nafasi Pambalu. Maana ametangaza pia kugombea ubunge Nyamagana. Pambalu alikuwa anachukua asubuhi jamaa kaja huku kumuharibi Kama alivyofanya kwenye Kanda ya Victoria.
Wenje na Yeriko wataelekea ACT wazalendo chama Cha Boss Wao

Boni Yai ndio atapata tabu sana ๐Ÿ˜„
 
Chadema imeshagawanyika ndio sababu Siri zenu ZOTE ziko CCM yaani hata alipouawa Meddy Chadema mkampigia Simu Dr Nchimbi mara 5 badala ya Muliro ๐Ÿผ
 
Ila pia niseme hili ikiwa Mungu ameikataa CDM hakuna wa kuiokoa...si hali ya kawaida kwa Mwenyekiti wetu kutoona hatari iliyo mbele ya Chama kwa yeye kugombea.
 
Wafuasi wa Lissu mbona mna wasiwasi sana? Yaani kila siku ni ninyi tu. Mbona Mbowe na wafuasi wake wametulia? Kwani Lissu akienda ACT Wazalendo atakuwa wa kwanza kufanya hivyo? Je, Chadema haikuendelea kusimama?
 
Mbowe nayeye asipochaguliwa usikute atahamia CCM๐Ÿ˜€
 
... kuna magwiji wengi tu CCM wanangoja Lissu aondoke wapate jukwaa ndani ya CHADEMA ili kumvaa KIZIMKAZI!
YE WACHA 'ENDE ZAKE TU!
 
ACT hii ya Zitto!??
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hivi uwa ni dhehebu gani Lissu mwenyewe hata sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ