ndioMv Ukara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndioMv Ukara?
Kwamba hujui kama kiliua awamu yake?Lini?
Ohoo..Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.
Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.
Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.
Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.
Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.
Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.
Nawasilisha
Nilimchukia sana JPM, lakini kuna mambo alinifanya niounguze chuki juu yake. Tozo kubwa huduma mbovu vimerejea.Aliwaambia mlipe 200 tu na hakukua na sababu ya kivuko kuwa kibovu
Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
KweliiiiiiiiiiiiiIle Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
Hilo tatizo linaingia wiki ya tatu sasa.. Last weekend usiku wa saa 7 karibia kipotee njia kabisaWakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.