Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Tatzo pale zinapita meli kubwa kuelekea bandarini
Yalaaaa ni kweli pale haiwezekani coz ya meli zinazo ingizia patokubwa taifa kuliko wana kigamboni wote, kwa vyovyote hawa wezi kujengewa daraja pale labda bandari ihamishwe kitu ambacho ni fikirishi sana [emoji23] so hapo cha kufanya wanakigamboni cha kufanya wa boreshewe vivuko vyao pia waongezewe hata vi wili au kimoja ita wasaidia ila sio daraja, case closed [emoji1]
 
Mtihani wa kuishi kigamboni
Hicho ndio kinanikera huko Kigamboni yani kungekuwa hamna mambo ya ma Pantoni ni chap ningedaka uwanja. Swala la kulipishana kwa huduma ya kwenda na kurudi nyumbani ndio silikubali kabisa bora nikanunue uwanja Bagamoyo tu 😅!

I can’t imagine nalipa 160,000 kwa mwezi kama charge za kutoka na kurudi kwangu...There more things that money can do!
 
Nafikiri uongeze kwa upendo kwa huyu wa sasa zaidi
Nilikesha usiku mzima kabla ya tangazo nikiwa mwenye mwenye hofu na baada ya tangazo la kifo. Nikishikwa na hasira kwa kuwa nilijua dagama wa kike atashika nchi.

Sikuwahi kumpenda hata sekunde moja na huwezi kunishawishi.

Anacheza na nyani, asubiri mavuno.
 
Hiyo hatari. Hivi Haiwezekani kuweka daraja pale pale kituo kinapokatiza? Why wapeleke daraja mbali vile?
Waweke daraja la kuvuka free kama la Sealander sio kulipishana mahela!

Hata wakiweka hela iwe kwa wenye magari na isizidi 500tsh kwenda na kurudi! Around TZS15,000 kwa mwezi thats manageable.
 
Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.

Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.

Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.
Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.

Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.

Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.
Nawasilisha
Mkuu ni.kweli kabisa
 
Hicho ndio kinanikera huko Kigamboni yani kungekuwa hamna mambo ya ma Pantoni ni chap ningedaka uwanja. Swala la kulipishana kwa huduma ya kwenda na kurudi nyumbani ndio silikubali kabisa bora nikanunue uwanja Bagamoyo tu [emoji28]!

I can’t imagine nalipa 160,000 kwa mwezi kama charge za kutoka na kurudi kwangu...There more things that money can do!
Weye sema huna hela acha maneno mengi,

Yaani kuliko kuishi Kigamboni bora uishi Bagamoyo???
 
MV Magogoni Kigamboni KAZI zote zilipiga mzigo kiuhakika. Lakini sasa hivi hata zikiwa nzima wanaamua waachie mbili au moja wapige wese
Na Sasa hivi wameweka mfumo wa N-card unaoziba mirija yao ya kula.
Haichukui Muda hii mifumo lazima waihujumu.

Kama ilivyokuwa kwenye mwendo kasi.
 
Na Sasa hivi wameweka mfumo wa N-card unaoziba mirija yao ya kula.
Haichukui Muda hii mifumo lazima waihujumu.

Kama ilivyokuwa kwenye mwendo kasi.
Mkuu muda huu tena kinazingua
 
Na Sasa hivi wameweka mfumo wa N-card unaoziba mirija yao ya kula.
Haichukui Muda hii mifumo lazima waihujumu.

Kama ilivyokuwa kwenye mwendo kasi.
Na sijui kwa nini namba deni za kutosha.. muda huu hapa joto lake si la Nchi hii
 
Back
Top Bottom