Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
Zile meli za mafuta na mizigo zingepita vipi?
 
Tatizo viongozi wa nchi hii wakienda nchi za watu wanakwenda kwenye starehe.
Mombasa hapa pua na mdomo wamejenga daraja la kutoka kisiwani kuja Nyerere road. Yaani pale kwenye mlango wa kuingilia Kilindini harbour exactly Kama hapo ferry. Istoshe pale kwao ni parefu zaidi.
 
yah! I hope tulikuwa wote siku ya ijumaa tar 04/03 jioni hivi na palikuwa na gari chache sana... ila watu wanasubiri mda mrefu inapelekea kujaa sanaaa...
Jioni ya.siku hiyo pia nilikuwepo ila funika bovu ni tarehe 7 jioni tulijaa hadi pembezoni mwa gati.
 
Na Sasa hivi wameweka mfumo wa N-card unaoziba mirija yao ya kula.
Haichukui Muda hii mifumo lazima waihujumu.

Kama ilivyokuwa kwenye mwendo kasi.
Sababu kubwa ni ajira za kudumu
 
Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.

Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.

Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.

Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.

Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.

Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.
Nawasilisha
Mama anasemaje juu ya hili au mpaka amuulize rais wa nchi (Kikwete) ampe mwongozo juu ya hili?
 
NCard ni muhimu sababu hizo Card zitakuja tumika kwenye kila kitu, ni swala la muda tu
Huu hauwezi kudumu, unawanyie pesa za haraka za mfukoni
 
Waliovuka mchana huu poleni kwa Majanga.

Mv Magogoni ni Shida kwa kweli.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ilifanyaje?
Maana nilitaka nivuke hapo feri nikaghairi nikapita darajani kumbe kuna jambo nimeepushwa [emoji120]
Dubuwasha leo Lilifeli likashindwa kuegesha so likaegesha in opposite way!!
Ikabidi watu wageuke ndio washuke na wenye magari washuke kwa Riverse

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mlioko kwenye kivuko Magogoni Muda huu, mnaelewa nini?

Huyu anayeongoza kivuko anatupeleka wapi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom