Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Tatizo "kiilikuwa akifanyiwi service enzi za mwendazake"
 
Kuna Siku Nilipanda Hicho Kivuko Badala Ya Kutupeleka Magogoni Pale Kikaelekea Bandarini Na Ilikuwa Usiku.

Vile Vivuko Vina Hali Mbaya Kuna Siku Vitazamana Na Raia Walahi.
 
Ohoo..
Isije kuwa kama Mv Bukoba
 
Kuna Siku Nilipanda Hicho Kivuko Badala Ya Kutupeleka Magogoni Pale Kikaelekea Bandarini Na Ilikuwa Usiku.

Vile Vivuko Vina Hali Mbaya Kuna Siku Vitazamana Na Raia Walahi.
Ndio janga linalokuja kama hawatachukua hatua.
 
Vile vivuko Ni bomu linalongojea kulipuka.
 
Kuna siku vilikosanisha na mtu nilichelewa appointment

(ngoja kwanza niwatukane kimoyo Moyo)
unasubiria mpaka unachoka na bado

unajiuliza tutafika kweli
Mara nyingi huwa napanda mv magogoni lakini hio sijui mv kazi Kama vile umepanda kwenye mtumbwi
 
Hilo tatizo linaingia wiki ya tatu sasa.. Last weekend usiku wa saa 7 karibia kipotee njia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…