Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto.

Angalia hapa
FB_IMG_1766730610022.jpg
 
Huyo Ivan , pamoja na yote he was rich guy

Kamuachia Zari Mali zinazomuwezesha kuishi vizuri in her lifetime.
 
Back
Top Bottom