Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 26, 2025 #1 Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 26, 2025 #2 Pole yao sana wafiwa... Cc: Mahondaw
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Dec 26, 2025 #3 Fbn said: Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa View attachment 3520838 Click to expand... Daaah Ivan aisee life is too short....Nilivyoona ile Clip nikajua jamaa aliyekula Snoop Dog Doggy ni yule MARIOOO kumbe mwanae noma kweli.
Fbn said: Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa View attachment 3520838 Click to expand... Daaah Ivan aisee life is too short....Nilivyoona ile Clip nikajua jamaa aliyekula Snoop Dog Doggy ni yule MARIOOO kumbe mwanae noma kweli.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Dec 26, 2025 #4 unamtanguliza mbinguni huyo mtoto kuondoa wenge
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,546 Reaction score 10,793 Dec 26, 2025 #5 kina kirefu said: unamtanguliza mbinguni huyo mtoto kuondoa wenge Click to expand... Mambo yasiwe mengi mqmqe hahahah
kina kirefu said: unamtanguliza mbinguni huyo mtoto kuondoa wenge Click to expand... Mambo yasiwe mengi mqmqe hahahah
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Dec 26, 2025 #6 Huyo Ivan , pamoja na yote he was rich guy Kamuachia Zari Mali zinazomuwezesha kuishi vizuri in her lifetime.
Huyo Ivan , pamoja na yote he was rich guy Kamuachia Zari Mali zinazomuwezesha kuishi vizuri in her lifetime.