Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

Serikali ina wanasheria wake ambao pia ni members wa T.L.S, ikiwamua kuwaleta wote hapo mkutanoni, ni mafuriko, sasa Mahakama inahusikaje? Pambaneni na hali yenu
 
Kulalamika hakutavusha nchi hii... opponents wako hawalalamik wanatenda...nawe tends KIKAKAMAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…