Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Tuzo ya nini?Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Inapendeza ...🤩
kumbe ujanja wote jf kumbe ni 0. unajua kumshamblia Mbowe mengine yote ni 0. nenda zako hukoTuzo ya nini?
Hayakumbe ujanja wote jf kumbe ni 0. unajua kumshamblia Mbowe mengine yote ni 0. nenda zako huko
Kwa taarifa amesha renew tayari, na yuko kwenye orodha ya Wapiga kura.Huyu sio mpiga kura halali, haja-renew certificate ya practice, tutapinga matokeo mahakamani
mawakili wa serikali, zaidi ya 150, unafikiri watampigia nani?Kinachoendelea Dodoma ni takataka zilizopigwa lamination.
Ni aibu kwa Taifa ni aibu kwa Mahakama na aibu kwa wanasheria
Ameshapiga kuraKwa taarifa amesha renew tayari, na yuko kwenye orodha ya Wapiga kura.
Atatetewa na Kibatala kiboko yenu. Wote huwa mnakimbiaHuyu sio mpiga kura halali, haja-renew certificate ya practice, tutapinga matokeo mahakamani
Serikali ina wanasheria wake ambao pia ni members wa T.L.S, ikiwamua kuwaleta wote hapo mkutanoni, ni mafuriko, sasa Mahakama inahusikaje? Pambaneni na hali yenu
Ndo wazime wovuti ya kuhakiki wanasheria??Kulalamika hakutavusha nchi hii... opponents wako hawalalamik wanatenda...nawe tends KIKAKAMAVU