Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe tuondolee ukhanithi wako wa udini kila muda udini tu hovyo kabisa wewe kiumbeJana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Mbona alikuwepo mwezi June kwa zaidi ya wiki mbili hadi alivyoondoka kwenda kwenye matibabu,tafuta lawama nyingine.Lisu atatutembelea lini wananchi wenzake wa ikungi?
Alimkimbia wapi wengine hatujui .Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Huyo malaria sugu hayuko vizuri kichwani.Alimkimbia wapi wengine hatujui .
Lawama nyingine ni hii,mbona hakutuletea ubwabwa kama ccm wafanyavyo hapa ikungi?Mbona alikuwepo mwezi June kwa zaidi ya wiki mbili hadi alivyoondoka kwenda kwenye matibabu,tafuta lawama nyingine.
Hujui ukishitaki TLS mara nyingi lazima uunganishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali? Ndio utajua TLS ni mali ya nani sasaNdo wazime wovuti ya kuhakiki wanasheria??
Kuna watu humu ndani walituaminisha kuwa kipindi kile lissu yuko kwenye matibabu Uturuki kwamba alikosa sifa ya uwakili sasa kaenda kupiga kura kama nani?Na wewe tuondolee ukhanithi wako wa udini kila muda udini tu hovyo kabisa wewe kiumbe
Kwani mawakili wa serikali ni mawakili wa CCM? Mbona unachanganya mada mkuu. Usichokijua ni kwamba mawakili wa serikali nao wana chama chao tofauti na TLS. Sasa huko TLS wanaenda kufanya nn kama sio kufanya fujo kwa makusudi?Serikali ina wanasheria wake ambao pia ni members wa T.L.S, ikiwamua kuwaleta wote hapo mkutanoni, ni mafuriko, sasa Mahakama inahusikaje? Pambaneni na hali yenu
Ni mazombie ya CCM kila siku yanawaza uchawi uchawi tuKuna watu humu ndani walituaminisha kuwa kipindi kile lissu yuko kwenye matibabu Uturuki kwamba alikosa sifa ya uwakili sasa kaenda kupiga kura kama nani?
Duuuh !!!!Lawama nyingine ni hii,mbona hakutuletea ubwabwa kama ccm wafanyavyo hapa ikungi?