Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

Mawakili wasomi tajwa wajitokeza kupiga kura leo mjini Dodoma

1722589636499.png
 
Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Na wewe tuondolee ukhanithi wako wa udini kila muda udini tu hovyo kabisa wewe kiumbe
 
Hatuna uhakika kuwa kweli kampigia huyo jamaa mwenye makelele.
 
Lisu atatutembelea lini wananchi wenzake wa ikungi?
 
Jana alimkimbia Dr Samia alifikiria atakuwepo Ukumbini? Zawadi yake kachukuliwa na Alute. Juu ya hayo, nampenda Lissu, hakasiriki kila wkaati yeye anacheka na sio MDINI tofauti na wafuasi wengi wa chadema hasa mikoa ya Kaskazini
Alimkimbia wapi wengine hatujui .
 
Mbona alikuwepo mwezi June kwa zaidi ya wiki mbili hadi alivyoondoka kwenda kwenye matibabu,tafuta lawama nyingine.
Lawama nyingine ni hii,mbona hakutuletea ubwabwa kama ccm wafanyavyo hapa ikungi?
 
Na wewe tuondolee ukhanithi wako wa udini kila muda udini tu hovyo kabisa wewe kiumbe
Kuna watu humu ndani walituaminisha kuwa kipindi kile lissu yuko kwenye matibabu Uturuki kwamba alikosa sifa ya uwakili sasa kaenda kupiga kura kama nani?
 
mwabukusi anafaa kuwa Rais wa Uyole FC
 
Serikali ina wanasheria wake ambao pia ni members wa T.L.S, ikiwamua kuwaleta wote hapo mkutanoni, ni mafuriko, sasa Mahakama inahusikaje? Pambaneni na hali yenu
Kwani mawakili wa serikali ni mawakili wa CCM? Mbona unachanganya mada mkuu. Usichokijua ni kwamba mawakili wa serikali nao wana chama chao tofauti na TLS. Sasa huko TLS wanaenda kufanya nn kama sio kufanya fujo kwa makusudi?
 
Kuna watu humu ndani walituaminisha kuwa kipindi kile lissu yuko kwenye matibabu Uturuki kwamba alikosa sifa ya uwakili sasa kaenda kupiga kura kama nani?
Ni mazombie ya CCM kila siku yanawaza uchawi uchawi tu
 
Back
Top Bottom