Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Hatuji mpaka atuombee kwanza miujiza itupate huku huku tulipo.Mimi nitakuja iwapo ataniombea Elon Musk aje DM kwangu na text ya WILL YOU MARRY ME?

Lamomy andaa vijora vya shughuli Mrs Pridah E Musk loading.
Mtumishi Joannah
😹😹😹
Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiii harusi tunayo, na msafara wa harusi gari cybertruck tu hatutaki vibakuli 🤣

Huyo mchungaji akifanikisha hilo naomba kazi X dada, najua utamshawishi shem E musk 😹
 
😀😀😀

Kazi ushapata au hujasikia kwa huyo pasta hakuna jobless😀
 
😹😹😹
Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiii harusi tunayo, na msafara wa harusi gari cybertruck tu hatutaki vibakuli 🤣

Huyo mchungaji akifanikisha hilo naomba kazi X dada, najua utamshawishi shem E musk 😹
Au nitaongea na shem Trump ukae pale White house uwachachue kidogo😀
 
Ukitaja tu kufanikiwa kupata utajiri,ndoa,watoto.elimu n.k naaza kuwa na mashaka na mtumishi huyo.
Sisi tunataka wakutufundisha kuujua ukweli wa Mungu na sheria zake. mbona hayo hata wachawi huyatoa?
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
UPUMBAVU NI KIPAJI
 
Sunbela kyando , huyu mwamba na yeye anajitahidi Sana Hana longo longo.
1. Askofu wa ABC church yupo kinzudi Cornel kabigumila , huyu na yeye Hana longo longo ni Mwalimu wa fundisho mzuri Sana .
2. Prophet Mtalemwa Dionis , ECG church
3. Josephat Gwajima , kama umekwama kabisa huyu jamaa yupo vizuri na kumkwamua mtu katika ulozi

Nk
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Amekutuma kutoa Tangazo au wewe ndiye mtumishi mwenyewe
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Umekuja kujipigia promo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba wanavyomaliza chuo unawafatilia wote?

Anyway wajinga ndio waliwao
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Sema ukweli
 
Kigamboni ni kubwa,
Taja eneo na ikiwezekana contacts!
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Umemfanyia "promo" ya maana kuliko hata huzo redio na TV.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Kupata kazi na kuolewa/kuoa! Hiyo ndo karama aliyonayo mtumishi.
Umejitahidi kumpigia promo humu jf, weka namba za nabii hapa.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Utajuaje wote sio jobless? Unaishi nao kwenye compound moja?
 
Back
Top Bottom