Diana Morrice
Senior Member
- Apr 1, 2020
- 138
- 196
ana tangaza kanisa kijanja na kutafuta wafuasiSema hii proma yakiduanzi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana tangaza kanisa kijanja na kutafuta wafuasiSema hii proma yakiduanzi sana.
😹😹😹
😀😀😀😹😹😹
Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiii harusi tunayo, na msafara wa harusi gari cybertruck tu hatutaki vibakuli 🤣
Huyo mchungaji akifanikisha hilo naomba kazi X dada, najua utamshawishi shem E musk 😹
Atawapata vizuri tu.Cha kushangaza kuna vilaza atawapata 😄
Au nitaongea na shem Trump ukae pale White house uwachachue kidogo😀😹😹😹
Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiii harusi tunayo, na msafara wa harusi gari cybertruck tu hatutaki vibakuli 🤣
Huyo mchungaji akifanikisha hilo naomba kazi X dada, najua utamshawishi shem E musk 😹
UPUMBAVU NI KIPAJIKuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Amekutuma kutoa Tangazo au wewe ndiye mtumishi mwenyeweKuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Umekuja kujipigia promo🤣🤣🤣🤣🤣Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Sasa imesaidia nini.Hii sio Promo maana sitajata jina la kanisa wala jina la MTU .
Jaribu kuwa positive
Kwamba wanavyomaliza chuo unawafatilia wote?Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
AiseeHivi kama kweli Mungu yupo kwanini usiongee naye wewe mwenyewe?
Lazima mpaka umpate kuwadi wa kukuungnisha naye?
Sema ukweliKuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Kigamboni ni kubwa,Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Umemfanyia "promo" ya maana kuliko hata huzo redio na TV.Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Kupata kazi na kuolewa/kuoa! Hiyo ndo karama aliyonayo mtumishi.Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Utajuaje wote sio jobless? Unaishi nao kwenye compound moja?Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala