Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Huyu baba ana matatizo makubwa kama kweli aliwaahidiWanaCCM tunaopenda ukweli, basi ni huu " MAGUFULI UMEMPA USHINDI MAALIM SEIF KWENYE SAHANI YA DHAHABU"
Magufuli unaiuwa CCM yetu, huna dhamira nzuri na chama chetu, tunajua hadi yako kwa mzee mwinyi, na sasa Ahadi yako kwa Lowassa.