GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Iiko hivi.. Wanawasomba vizuri wanawafikisha mpaka eneo la tukio kisha wakifikishwa tu wanasepaπŸ˜‚
Soon wataanza mkakati wa kuwazuia kuondoka, mambo haya ya kila siku mkuu.
 
Hawana hoja kabisa...wamejipanga mda mrefu ila hawakutumia akili kupanga ajenda. Yaani ni kama hawaijui kabisa nchi ya Tanzania...nimegundua Mpina angewagalagaza vibaya sana...yaani wasingemuweza hata robo...na lisu au heche ndio wangepoteana...yaani ccm wanatia aibu sana. Hawajui watanzania wanahitaji hoja za kawaida sana za maisha yao ya Kila siku...wao sijui wanazungumzia utumbo Gani maskini
 
Ya mbeleni hatujui lakini CCM haiwezi kukatisha kampeni kwa sababu dhaifu kama hizo. Mlianza
1. Hagombei kagombea
2. Uchaguzi hakuna ,tarehe imepangwa kabisa
3. NRNE ya CHADEMA itafanikiwa sasa hawana hamu na Lissu
4. Hana mvuto, tumeona kawe, Mwanza na ngerengere zilivyoitika.

Epuka matapeli UCHAGUZI OKTOBA UPO NA WAJANJA WATATIKI KWA SAMIA
 
Wewe Kwa akili Yako Kuna mtu wa kukaidi mbele ya hela? Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
1. Usiwe na haraka ya kuandika utakosea sana
2. Asante kwa kutufumbua machoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Naamini umeandika bila kutafakari impact yake
 
Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
1. Usiwe na haraka ya kuandika utakosea sana
2. Asante kwa kutufumbua machoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Naamini umeandika bila kutafakari impact yake
Ndio maana nikakwambia Kila hatua mnakuja na ramli na mnaangukia pua kwa sababu hamjui mbinu Wala mikakati.
 
Reactions: Tui
10βœ”οΈ
 
Tusiishi kwa mazoea.. There is always next time...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…