GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa wakisepa watarudije makwao? Mfano jana Ngere ngr.tufanye umetolewa Kinguluwila au Moro mjini. Halafu watarudije? Dawa ni kugoma kabisa kwenda.
Mkataba ni kuwaleta sio kuwarudisha fuatilia mikutano yote ya ccm
 
Huuu ni utabiri wa mvua ya moto kunyesha kwenye bahari! Bahari kuwaka moto au moto kuzimwa na maji ya bahari!
 
Mkuu umesababisha nicheke kwa sauti. Eti "malori ya kubebea ng'ombe"
 
Yte ayo aliosema polepole tumeyasikia kifuatacho ni nini au hatua gani tumechukua.
Kama umesikia na kuelewa, basi hiyo pekee inatosha kwako wewe...

Wewe huwezi kuchukua hatua yoyote. Tupo mchukua hatua kwa kutumia wajumbe maalumu. Wewe haumo..!

Wewe Upumeskikia, umeelewa, au siyo...?

Sasa kaa tulia na mkeo/mumeo. Wapo wanaume special watafanya yawapasayo kufanya
 
Sijawahi ona ahadi za mgombea Nyepesi nyepesi kama za mwaka huu tangu nizaliwe.
 
Nimeshangaa, eti kutoa marehemu hospitali bila malipo kwanza ayo ni ajenda ya uchauzi.
 
Pole pole anaharibu kampeni za sisiemu
 
Na hpo ndo mnapofeli mmezoea kuwasubili wat wawapazie sauti. Hamuwez kujisimamia.

Mm ngoja nitulie na ke wangu cha muhimu bahasha ya khaki ya mtandao napata
 
Hata wewe Mkuu, unakuwa na hoja dhaifu kiasi hiki.
Nini kimekupata?
 
Na hpo ndo mnapofeli mmezoea kuwasubili wat wawapazie sauti. Hamuwez kujisimamia.

Mm ngoja nitulie na ke wangu cha muhimu bahasha ya khaki ya mtandao napata
Wewe uko nchi gani kwani kiasi cha kutusema kuwa hatuwezi kujisimamia...?

Na kwani hapa tulipo sasa nani anatusimamia? Unatusimamia wewe..?

Stop this nonsense bro...!!

Ukombozi huwa hauletwi na kundi kubwa la watu...

Mtu mmoja aweza kukomboa na kuokoa nchi/taifa...

Mfano Yesu Kristo, Musa, Yusufu, Joshua, Gidioni, wale wakoma watatu dhidi ya Jeshi la washami nk..

Wewe tulia na mke wako nyumbani. Kama Kuna jukumu litakuhitaji kulifanya, utataarifiwa...
 
Huijui tanzania
 
Stop this nonsense bro...!!๐Ÿ˜€๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จโœŒ๐ŸฟโœŒ๐Ÿฟ
 
Wewe tulia na mke wako nyumbani. Kama Kuna jukumu litakuhitaji kulifanya, utataarifiwa.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mkuu tusijipe matumaini yasiyokuwepo
Maamuzi magumu yanahitajika
Tuombe kibali umoja wa mataifa kusimamisha uchaguzi

Tuwashitaki watawala na serikali kwenye mahakama ya East Africa na International

Polepole atangaze โ€˜emergency nchi isimameโ€™ watuhumiwa wafikishwe kunakostahili

Hakuna serikali ni sirikali
Polepole has to come out and lead the mapambano au atangazie umma hali ya nanilii
Mods tuna kazi ya kulikomboa Taifa acheni uhuni
Tukatae wahuni
Nchi ni yetu Sote!
Mheshimiwa Heche Kuya huku usome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ