THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #21
Kwani kuna mtu amepangiwa kuwaza?
Hapana,ila siyo kupotosha wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna mtu amepangiwa kuwaza?
wewe ndio unayeburuzwa kama zezeta hadi unaanzisha uzi wa kulitetea hilo limajaliwa ongo kuu la taifa.Hakuna bandari inayouzwa,usikubali kuburuzwa kiboya
Makuwadi na madalali ya dpworld mliohongwa na yule mwarabu muuza watumwa tafteni hoja zingine bandari vyovyote mtakavyofanya haiuzwi na huyo mwarabu wenu akija tutamgawana kama nyama nyie makuwadi.
Msingi wa Mkataba umeshatiwa saini na Hakuna mkataba utaingiwa ukikiuka Msingi wake. Na Hakuna mkataba utapelekwa tena bungeni kupitishwa hiyo sheria haipo au na Hilo hujui?Kwan mkataba umeshatiwa Saini??
makuwadi ya dpworld yaliyohongwa.Wasikusumbue.
Vikundi maslahi tu hivyo
wewe ndio unayeburuzwa kama zezeta hadi unaanzisha uzi wa kulitetea hilo limajaliwa ongo kuu la taifa.
Msingi wa Mkataba umeshatiwa saini na Hakuna mkataba utaingiwa ukikiuka Msingi wake. Na Hakuna mkataba utapelekwa tena bungeni kupitishwa hiyo sheria haipo au na Hilo hujui?
Mtanena kwa lugha zenu mwaka huuHakuna bandari inayouzwa,usikubali kuburuzwa kiboya
kama wewe ambavyo huyo muongo wa taifa anayeitwa majaliwa alivyokuaminisha ujinga na wewe ukamwamini labda mpaka aje akiri mwenyewe na nanjua hatakiri maana hata kipindi magufuli alikuwa amekufa alijitokeza kuudanganya umma kuwa magufuli anapiga kazi na akawa anauliza tunataka tumuone kariakoo au magomeni, kifupi wapumbavu na wajinga ndio waliwao.Mbowe na SUKUMA GANG Kosa walilolofanya ni Hilo la kuwaambia huo uongo,na hakika hamtaweza kukubali ukweli hadi labda waje wakiri wenyew mbele yenu kuwa waliwapeleka Chaka.
Kilichopekekwa bungeni ni MoU au ni IGA? Uliza basi tofauti ya hivi viwili au unajua unapotosha tu. Tangu lini Bunge likajadili MoU Kati ya kampuni na kampuni maana MoU unayosema ni ya TPA na DPW au IGA kwako ndo MoU?Nan kakuongopea Hilo??
Kwamba memorandum ndiyo msingi wa mkataba wenyew??
Bandarini kuna vibaka ni kweli. Hilo ni kosa la nani? Huoni ni kosa la serikali iliyopewa madaraka kuendesha bandari? Huwezi kuondoa tatizo kwa kulikimbia. Na kwa taaarifa yako hao waarabu ni vibaka kuliko waliopo. BTW huyu mama wa kambo hatumtaki watanganyika. Mwinyi aliuza raslimali zetu kwa waarabu, huyu naye anataka kuuza mpaka bandari ili waingize majambia ya kueneza udini wao. Hili ni jambo la national security na wananchi wote hawatakubali mama wa kambo atuletee hao waporaji.Hakuna bandari inayouzwa,usikubali kuburuzwa kiboya
kama wewe ambavyo huyo muongo wa taifa anayeitwa majaliwa alivyokuaminisha ujinga na wewe ukamwamini labda mpaka aje akiri mwenyewe na nanjua hatakiri maana hata kipindi magufuli alikuwa amekufa alijitokeza kuudanganya umma kuwa magufuli anapiga kazi na akawa anauliza tunataka tumuone kariakoo au magomeni, kifupi wapumbavu na wajinga ndio waliwao.
makuwad ya dpworld.Hizo ni porojo…..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu Hoja ya Msingi.
Bandarini kuna vibaka ni kweli. Hilo ni kosa la nani? Huoni ni kosa la serikali iliyopewa madaraka kuendesha bandari? Huwezi kuondoa tatizo kwa kulikimbia. Na kwa taaarifa yako hao waarabu ni vibaka kuliko waliopo. BTW huyu mama wa kambo hatumtaki watanganyika. Mwinyi aliuza raslimali zetu kwa waarabu, huyu naye anataka kuuza mpaka bandari ili waingize majambia ya kueneza udini wao. Hili ni jambo la national security na wananchi wote hawatakubali mama wa kambo atuletee hao waporaji.
narudia tena makuwadi na madalali ya mwarabu mtapotea ni swala la muda tu wapuuz nyinyi.Siyo Kosa lako,hujui miiko ya kuongoza Taifa,unachojua ww ni kuweka bundle na kuja kutukana watu huku JF na Twitter,enjoy your freedom.
Memorandum of understanding(MOU) tiyari, Intergovernmental agreement(IGA) tiyari, Home government agreement(HGA) haijawekwa wazi.Kwan mkataba umeshatiwa Saini??
narudia tena makuwadi na madalali ya mwarabu mtapotea ni swala la muda tu wapuuz nyinyi.
Makuwadi na madalali ya dpworld tunawaonya pamoja na hao mnaowakuwadia kuwa wakija hapo bandarini tutawageuza nyama wapuuz nyinyi.Wasaliti watamalizwa tu, wanajulikana
Magaidi nayo ni ya Kufungwa milele tu
CHADEMA wacheni Ugaidi.
CHADEMA Digital Mmeanzisha hili mjue kwamba hamtaenda kushika Dola.
Mlaaniwe na Watanzania wote
mtaimba taarabu zote na wapumbavu wenzio sasa tunasema waleteni hao mnaowakuwadia tuwanyooshe hapohapo bandarini.Wapiga deal pale bandarin na wezi dawa Yao imetimia,bwawa limeshaingia luba Hilo.