Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

Makuwadi na madalali ya dpworld mliohongwa na yule mwarabu muuza watumwa tafteni hoja zingine bandari vyovyote mtakavyofanya haiuzwi na huyo mwarabu wenu akija tutamgawana kama nyama nyie makuwadi.

Mbowe na SUKUMA GANG Kosa walilolofanya ni Hilo la kuwaambia huo uongo,na hakika hamtaweza kukubali ukweli hadi labda waje wakiri wenyew mbele yenu kuwa waliwapeleka Chaka.
 
Kwan mkataba umeshatiwa Saini??
Msingi wa Mkataba umeshatiwa saini na Hakuna mkataba utaingiwa ukikiuka Msingi wake. Na Hakuna mkataba utapelekwa tena bungeni kupitishwa hiyo sheria haipo au na Hilo hujui?
 
Nan kakuongopea Hilo??

Kwamba memorandum ndiyo msingi wa mkataba wenyew??
 
Mbowe na SUKUMA GANG Kosa walilolofanya ni Hilo la kuwaambia huo uongo,na hakika hamtaweza kukubali ukweli hadi labda waje wakiri wenyew mbele yenu kuwa waliwapeleka Chaka.
kama wewe ambavyo huyo muongo wa taifa anayeitwa majaliwa alivyokuaminisha ujinga na wewe ukamwamini labda mpaka aje akiri mwenyewe na nanjua hatakiri maana hata kipindi magufuli alikuwa amekufa alijitokeza kuudanganya umma kuwa magufuli anapiga kazi na akawa anauliza tunataka tumuone kariakoo au magomeni, kifupi wapumbavu na wajinga ndio waliwao.
 
Nan kakuongopea Hilo??

Kwamba memorandum ndiyo msingi wa mkataba wenyew??
Kilichopekekwa bungeni ni MoU au ni IGA? Uliza basi tofauti ya hivi viwili au unajua unapotosha tu. Tangu lini Bunge likajadili MoU Kati ya kampuni na kampuni maana MoU unayosema ni ya TPA na DPW au IGA kwako ndo MoU?
 
Hakuna bandari inayouzwa,usikubali kuburuzwa kiboya
Bandarini kuna vibaka ni kweli. Hilo ni kosa la nani? Huoni ni kosa la serikali iliyopewa madaraka kuendesha bandari? Huwezi kuondoa tatizo kwa kulikimbia. Na kwa taaarifa yako hao waarabu ni vibaka kuliko waliopo. BTW huyu mama wa kambo hatumtaki watanganyika. Mwinyi aliuza raslimali zetu kwa waarabu, huyu naye anataka kuuza mpaka bandari ili waingize majambia ya kueneza udini wao. Hili ni jambo la national security na wananchi wote hawatakubali mama wa kambo atuletee hao waporaji.
 
kama wewe ambavyo huyo muongo wa taifa anayeitwa majaliwa alivyokuaminisha ujinga na wewe ukamwamini labda mpaka aje akiri mwenyewe na nanjua hatakiri maana hata kipindi magufuli alikuwa amekufa alijitokeza kuudanganya umma kuwa magufuli anapiga kazi na akawa anauliza tunataka tumuone kariakoo au magomeni, kifupi wapumbavu na wajinga ndio waliwao.

Siyo Kosa lako,hujui miiko ya kuongoza Taifa,unachojua ww ni kuweka bundle na kuja kutukana watu huku JF na Twitter,enjoy your freedom.
 
Bandarini kuna vibaka ni kweli. Hilo ni kosa la nani? Huoni ni kosa la serikali iliyopewa madaraka kuendesha bandari? Huwezi kuondoa tatizo kwa kulikimbia. Na kwa taaarifa yako hao waarabu ni vibaka kuliko waliopo. BTW huyu mama wa kambo hatumtaki watanganyika. Mwinyi aliuza raslimali zetu kwa waarabu, huyu naye anataka kuuza mpaka bandari ili waingize majambia ya kueneza udini wao. Hili ni jambo la national security na wananchi wote hawatakubali mama wa kambo atuletee hao waporaji.

Shida yenu mnachanganya mambo sana,

Hao DP world wako nchi nyingi huko dunian hata Kwa Malkia Elizabeth wanafanya kaz zao za uwekezaji,ni ufinyu wa fikra kuwaza eti DP world anakuja kwako kueneza dini au Serikali inajihusha nayo Kwa kuwa ni waarabu,kwani Samia ni muarabu??

Mbowe anajua anachokifanya usiburuzwe tuh
 
Siyo Kosa lako,hujui miiko ya kuongoza Taifa,unachojua ww ni kuweka bundle na kuja kutukana watu huku JF na Twitter,enjoy your freedom.
narudia tena makuwadi na madalali ya mwarabu mtapotea ni swala la muda tu wapuuz nyinyi.
 
Screenshot_20230622_091504_WhatsApp.jpg
 
Wasaliti watamalizwa tu, wanajulikana

Magaidi nayo ni ya Kufungwa milele tu

CHADEMA wacheni Ugaidi.

CHADEMA Digital Mmeanzisha hili mjue kwamba hamtaenda kushika Dola.

Mlaaniwe na Watanzania wote
Makuwadi na madalali ya dpworld tunawaonya pamoja na hao mnaowakuwadia kuwa wakija hapo bandarini tutawageuza nyama wapuuz nyinyi.
 
Back
Top Bottom