Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Tumezikataa kazi zote na mambo yake yoteWatakataje tamaa wakati kuna madege, mameli, mabwawa, mabarabara, madaraja, mareli na makodi mengi mengi...??
Hao wananchi hawaoni nchi ipo uchumi wa kati...??
Uchumi wa kati wana enjoy wale walio karibu na mwenyekiti wa chama huku wakipewa PUMBAVU za hapa na paleWatakataje tamaa wakati kuna madege, mameli, mabwawa, mabarabara, madaraja, mareli na makodi mengi mengi...??
Hao wananchi hawaoni nchi ipo uchumi wa kati...??
Yaani hii njaa na dhiki ya hela ndiyo wapiga kampeni wakubwa wa Lisu. Lisu anashangiliwa na kupokelewa kwa nguvu zote kwasabb watu wako hoi kiuchumi.Dalili moja mbaya ni kwamba wananchi ambao ni wapiga kura wamekata tamaa kutokana na ugumu wa Maisha na wengi wameapa kuikataa ccm Oct 28,
TL anasema Hana Cheti Cha kuzaliwa ,means sio mtanzania🙄Endeleani kuota
Ukuu wa Mungu unaenda kuonekana kupitia LisuMwaka huu Mzimu wa Lissu hautawaacha salama.
Ninaongea kila wiki na ndugu zangu huko kijijini; hakuna wanaojua chama cha upinzani, wanasema tangu mwaka 2010 wakati CHADEMA ilikuwa imeanza kujikita hapo kijijini, leo hii hakuna chama zaidi ya CCM. Wanashindwa kutofautisha kati ya serikali na CCM; kwao huwezi kuwaambia jambo dhidi ya CCM, ndiyo maana nina uhakika kuwa CHADEMA kinacheza kujifurahisha tu, ila siyo kutafuta ushindi. Ushindi hauji kwa mtindo huu wa CHADEMA.
Kwetu ni pazuri sana huenda kuliko kwenu; wako vizuri sana kibiashara, hawategemei pesa za mkato mkato ambazo ndizo zinazoliliwa na watu wengi hapa. Umewahi kuona watu wanaofanya biashara za kihalali wakililamika? Hii ya kupungua hela kwenye mzunguko ni jambo la muhimu sana kuimarisha uchumi. Mkapa aliimarisha sana mzunguko wakati wake lakini yaliyofuata ndiyo tunayokumbuka leo; kuna wakati inflation ilikuwa inapanda. Sasa hivi inflation imekuwa controlled tena kama alivyoacha Mkapa.Hicho kijiji kitakuwa kiko polini sana labda ambako hata mawasiliano hakuna lakini vijijini vya siku hizi hivi ambavyo huwa tunawaomba watutumie hata picha za mashamba yetu ya miti kwa whatsapp tuone ukubwa wake wanafutilia kampeni kama kawaida na wanajadili kama tunavojadili mijini hivi hivi
Kijiji gani??we ongelea kijijini kwenu tu mzee, huko kwenu inaelekea bado ni ulimwengu wa giza...mi nafanya projects vijijini mikoa tofati watu wameamka mnoo!!watu hawaitaki Ccm na Ccm mwaka huu inaangukaNinaongea kila wiki na ndugu zangu huko kijijini; hakuna wanaojua chama cha upinzani, wanasema tangu mwaka 2010 wakati CHADEMA ilikuwa imeanza kujikita hapo kijijini, leo hii hakuna chama zaidi ya CCM. Wanashindwa kutofautisha kati ya serikali na CCM; kwao huwezi kuwaambia jambo dhidi ya CCM, ndiyo maana nina uhakika kuwa CHADEMA kinacheza kujifurahisha tu, ila siyo kutafuta ushindi. Ushindi hauji kwa mtindo huu wa CHADEMA.
Mungu atatuonesha maajabu kweli kweliUkuu wa Mungu unaenda kuonekana kupitia Lisu