Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
neno huru kwako lina maan a tofauti na maana halisi ya watu kuwa huru. Kwetu tuna umeme tangu mwaka juzi, lakini wewe unaongea umeme wa leo. Mpaka sasa hivi kuna vijana wana ajira za "fundi umeme" ambao wanatandika waya za umeme kwenye nyumba kwa malipo laki moja na nusu hadi laki mbili pamoja na gharama za vifaa. Wewe endelea kulala na kuota tu, wengine wameshaamka wako kazini sasa.Hao ndugu zako hawako huru, hawawezi hata kuhoji ni kwanini umeme wa REA unasambazwa kwa kasi kubwawkipindi hiki cha uchaguzi wakati uzalishaji wetu wa umeme haujaongezeka.