Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

Ccm ya jiwe""
FB_IMG_1600099894287.jpg
 
Pamoja na kumtoa dada kafara, maji yanazidi unga. Sijui nani atatolewa kafara kwenye ukoo kuikosoa hili jahazi.
Kwenye ukoo wenu hajawahi kufa mtu? Mama yako, Dada kaka zako na Bibi na babu yako wote wapo hai? Au mliowatoa kafara Hadi leo wamefika wangapi? Kwenye ukoo wenu mnatoa watu kafara tuu hawafi kwa wakati wao.
 
Wasalam,

Pamoja na mazuri yote aliyofanya Mh magufuli bado wingu jeusi limetanda ndani ya ccm kutokana na uasi wa baadhi ya wanaccm.
Kuna kila dalili kwamba ccm inaenda kushindwa kwa fedhea ktk uchaguzi wa Oct 28.

Dalili moja mbaya ni kwamba wananchi ambao ni wapiga kura wamekata tamaa kutokana na ugumu wa Maisha na wengi wameapa kuikataa ccm Oct 28, huenda Tanzania ikaandika historian kwa Rais kuongoza kipindi kimoja cha miaka5.

Dalili zinaonesha Watanzania hawana imani na CCM pamoja na rais magufuli.

Maendeleo yana vyama.
Yaani ukiingia jf burudani sana. Tofauti na uhalisia. Kuna nchi nyingine humu ya tz mambo ni magumu kwa jpm na mteremko kwa lissu. A fantansy country of jf...
 
Nna uhakika wale wote uliowahamasisha 2010 uko nao ulipo na wana vikatio vilivyohakikiwa😃😃✔✔✔👍

Maana kuna ndugu zetu baada ya kupoteza 2010 walisema hawatapiga kura tena, hata vikatio hawana ila kwenye mikutano hawakosi😂😂😂
wafuasi wangu wote leo hii ni CCM damu damu! Sikuchukua likizo tena kwa sababu matoleo yalikuwa wazi tu
 
Ukitaka mazuri lazima kujifunga mkanda, Ukitaka wepesi usijifunge mkanda tu. Changes kubwa hasa kwenye transport and communication tulizozishuhudia kwenye awamu ya tano ni matokeo ya kubana mkanda. Kitu ambacho wengi hatutaki kukubali ukitaka vizuri kubali kuhumia tu....
 
Yaani hii njaa na dhiki ya hela ndiyo wapiga kampeni wakubwa wa Lisu. Lisu anashangiliwa na kupokelewa kwa nguvu zote kwasabb watu wako hoi kiuchumi.

Wanamuona Lisu kama mkombozi wao. Lisu atashinda kwa kimbunga, lkn watu wake hawamuambii ukweli.
Hapana mi nilienda kumuona lissu kwa maana ya kumjulia hali mgonjwa ambae anasubiri kipigo tar 28 oktoba asubuhi sana.
 
Lisu amkomboe nani? Sikiliza wewe? Sisi ndio tulimkomboa kwa kumchangia hela ya matibabu. Sisi CCM pia tulichanga.
 
Ukitaka mazuri lazima kujifunga mkanda, Ukitaka wepesi usijifunge mkanda tu. Changes kubwa hasa kwenye transport and communication tulizozishuhudia kwenye awamu ya tano ni matokeo ya kubana mkanda. Kitu ambacho wengi hatutaki kukubali ukitaka vizuri kubali kuhumia tu....
Chamecha Swai.
Hapo umesema ukweli ambao wengi hawataki kuusikia unapojenga nyumba wakati uko nyumba ya kupanga utakula ugali tembele ubane bane ununue cement. Ukiishahamia sasa walau unasema una kwako. Yanafanyika mengi makubwa sana nchi hii sio mambo madogo madogo ambayo hayana tija. Yani ile reli tangia mkoloni kaifumua yeye, umeme utashuka, miradi ya maji mikubwa, miundombinu bora kabisa. Tutamchagua tena. Kazi iendelee.
 
Ninaongea kila wiki na ndugu zangu huko kijijini; hakuna wanaojua chama cha upinzani, wanasema tangu mwaka 2010 wakati CHADEMA ilikuwa imeanza kujikita hapo kijijini, leo hii hakuna chama zaidi ya CCM. Wanashindwa kutofautisha kati ya serikali na CCM; kwao huwezi kuwaambia jambo dhidi ya CCM, ndiyo maana nina uhakika kuwa CHADEMA kinacheza kujifurahisha tu, ila siyo kutafuta ushindi. Ushindi hauji kwa mtindo huu wa CHADEMA.


Mkuu wangu vijiji gan hivyo wewe mzee baba? Muda huu naandika hii sms Niko vijijini ...nakuambia vijijini chadema inajulikana....tena wanakuambia mbunge wetu ni waupinzani wasipomtangaza wasimamia uchaguzi hawatatoka mle ndan....jaman mnasemaha chadema iko Jamii forum tu..nasema hivi ..kila nyuzi iliyomo humu au kila tukio linlofanyika na vijijini wanayapata ...sijaamini kbs kusikia Ile zomeanzomea ya Bukoba hapa nilipo.Tena wanakuelezea scenario nzima ilivyokuwa ..
Jaman Hakuna Tena kudanganyanna mnavyosema chadema iko mijini tu. .pole zenu wanaccm
 
Mku kumbuka Lisu hakusukumwa kugombea ila ni kwa utashishi wake na na Chama cake na kwa historia yake pia imbeba sana

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwani Nani kasukumwa kugombea? Kwa hiyo kila anayegombea kwa utashi wake lazima awe rais? Wagombea wapo wengi zaidi ya 15 na wote wamegombea kwa utashi wao Sasa tz itakuwa na Marais wangapi?
Lissu ni changamsha genge tuu Kama Chadema wangekuwa na uwezo wa kushinda urais Mbowe asingemwachia mtu yeyote.
 
Mwaka huu Mzimu wa Lissu hautawaacha salama.

One picture of Dr Magufuli sitting on a lonely boulder on a Ubungo Flyover Road side intently listening to barefoot Machingas went viral.

That picture symbolised deliberative government, grassroots consultation, servant leadership and humility.

In Dr Magufuli’s Tanzania, no citizen is too small. The biggest office is that of a citizen, not President What’s happening in Tanzania is revolutionary.

Presidents elsewhere should come to benchmark in Tanzania, not Belgium.
 
Huyo jamaa hafai ole wenu mumchague tena mtakuja juta miaka 5 siyo mchezo .
Tusililiane shida huku kitaa wewe kama utaichagua ccm shauri yako , hawafai hata kidogo .
 
Wasalam,

Pamoja na mazuri yote aliyofanya Mh magufuli bado wingu jeusi limetanda ndani ya ccm kutokana na uasi wa baadhi ya wanaccm.
Kuna kila dalili kwamba ccm inaenda kushindwa kwa fedhea ktk uchaguzi wa Oct 28.

Dalili moja mbaya ni kwamba wananchi ambao ni wapiga kura wamekata tamaa kutokana na ugumu wa Maisha na wengi wameapa kuikataa ccm Oct 28, huenda Tanzania ikaandika historian kwa Rais kuongoza kipindi kimoja cha miaka5.

Dalili zinaonesha Watanzania hawana imani na CCM pamoja na rais magufuli.

Maendeleo yana vyama.
Jisemee wewe
Ndiyo kwanza mjadala wa kumwongezea muda wa kutawala baada ya kipindi chake Cha miaka 10 umeshika Kasi!
 
Tunagombana bure Watanzania, kila mtu anajia kura yake ataipeleka wapi na kwasababu zipi. Kusema ukweli mimi nitaipeleka kwa Magufuli kwa sababu kama tatu kwanza umeme kufika kijijini kwetu na nyumbani ninautumia tena unit 75 nalipia 9150, pili maji salama na safi ninayatumia nyumbani na hayakatiki mwaka mzima nalipia tsh 9000 kwa mwaka na mwisho ni mawasiliano ya simu mitandao yote inapatikana mpaka uvunguni zamani tulikuwa tukitumia mitandao ya Burundi.
Ni kwa sababu hizo tu nitaipigia tena kura CCM na wagombea wake wote nilijia Philip Isdory Mpango atakuwa mbunge wangu
 
Back
Top Bottom