passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Wakati anashikilia majimbo mengi sijui mnafikiria Kwa niniPutin hana lolote. Yule Comedian kamuaibisja na kimsingi Russia wanatamani vita hii iishe ila hawana namna ya kuretreat kwa kuwa wanahofia aibu
Majimbo mengi… mangapi? Yapi?Wakati anashikilia majimbo mengi sijui mnafikiria Kwa nini
Majimbo manne sio mchezo na jumatatu yanakuwa sehemu ya urusi.hii Ndo maana ya superpower.mjiandae kuapdate Ramani ya duniaMajimbo mengi… mangapi? Yapi?
Mbaka kufikia huko yawezekana NATO nayo itakuwa haipoSitashangaa kumwona Putin akikokotwa kuelekea mahakamani siku moja kama ana bahati nzuri vinginevyo atauawa kwa staili ya akina Saddam na Ghaddafi.
Hafu upande wapili tubaliki ushoga na upanuzi wa natoHomicidal dictator amechanganyikwa na anapaswa alaaniwe na kila mwenye akili timamu.
Huelewi maana ya “super power”. Ni aibu kwa Russia kushindwa kuingia Kiev miezi 7 baada ya vita.Majimbo manne sio mchezo na jumatatu yanakuwa sehemu ya urusi.hii Ndo maana ya superpower.mjiandae kuapdate Ramani ya dunia
Putin ni overrated me mwenyewe nlikuaga namuoma chuma kweli kumbe Mandonga tuMajimbo manne sio mchezo na jumatatu yanakuwa sehemu ya urusi.hii Ndo maana ya superpower.mjiandae kuapdate Ramani ya dunia
Kwani Nani kakuambia walitaka kuingia Kiev?Huelewi maana ya “super power”. Ni aibu kwa Russia kushindwa kuingia Kiev miezi 7 baada ya vita.
Putin was overated. Heshima yake imeshuka pakubwa
NonsensePutin ni overrated me mwenyewe nlikuaga namuoma chuma kweli kumbe Mandonga tu
Walitaka sana na walidhani wangeingia within 7 days ila walipata kipigo heavy walipofika mji wa BuchaKwani Nani kakuambia walitaka kuingia Kiev?
Mmh Urusi usiifananishe na hao kina Iraq wala Libya mkuuSitashangaa kumwona Putin akikokotwa kuelekea mahakamani siku moja kama ana bahati nzuri vinginevyo atauawa kwa staili ya akina Saddam na Ghaddafi.
Kama yale Majimbo ya CCM inayoshindaga bila kupingwa.Wakati anashikilia majimbo mengi sijui mnafikiria Kwa nini
Mtu akishaanza kuchomeka mambo ya ushoga ujue hana akili ni tutusa pro maxHafu upande wapili tubaliki ushoga na upanuzi wa nato
Wewe Nani kakumbia walikuwa wanataka kuingia Kiev?acheni kujidanganyaWalitaka sana na walidhani wangeingia within 7 days ila walipata kipigo heavy walipofika mji wa Bucha
Get your facts right