Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

Hata kwa mchina mtajiuliza successor ni nani, wamashariki wana mifumo yao tofauti na mlivyokariri huko wa magharibi , successor yupo na anaweza akawa roho mbaya zaidi ya huyo aliekuwepo, kwani kuna siku Mmarekani alipanga au alijua kwamba ataibuka Putin??? Wao walishajua walimaliza kazi na kibaraka wao Gorbachev kumbe walikua wanaliwa timing tu.....hayo mawazo yenu pelekeni kwa nchi mlizozea kuzionea za Afrika na waarabu huko......ila kwa mrusi na mchina mipango yenu inafeli vibaya sana

You will swallow your pride this time !! The US is more than determined to finish up Russia [emoji635] once and for all ! Could you have ever imagined demonstrations against the government in the Soviet Russia ? It is happening in this generation! Where is the eastern block ? Crumbled during the Reagan administration! Where is Xi by now ?
 
Tena na viingereza vyenu vya muvi......Russia sio zimbabwe blaza mtaongea lugha zote safari hii ......safari ndo inaanza......chant down Babylon
 
Absolute rubbish ! Don’t mess around with the United States of America ! Putin will definitely succumb! Kawaulize kina Osama, Alzawahir, Alawlaky, Albaghad, Saddam huko kuzimu waliko as for how long it patiently took to take them out !
Umeandika kama wale jamaa wanaotafsiri sinema vibandani kule kwa Mpalange! Sasa Osoma, Albaghadad unawezaje kuwalinganisha na Rais sa dola rasmi na kubwa kama Russia?

Halafu mimi sishaabikii vita hii na wala siipendi.
Nachallenge tu kumchukulia Putin kirahisi. Urusi inaweza kuziumiza nchi za magharibi kuelekea msimu wa baridi na kuchochea wananchi mitaani. Pili, hoja ya kuongeza jeshi ni kulinda nchi.

Huwezi jua analysis ya kijeshi inaonyesha nini kinakwenda kutokea. Au mnaamini wanajeshi wote wameuawawa na Ukraine na NATO?😀😀😀 Putin siku akizidiwa atabonyeza kitufe cha zana zake za mwisho. Ndiyo hatari tusiiombee. Maana tangu Febrary 24 NATO ipo vitani na Russia. Kusema eti Ukraine kanapigana kenyewe ni utoto tu. #Amani amani amani..tunahitaji amani.🙏🙏🙏
 
Shida mnaendeshwa na mihemko ndo maana hata kuelewa inakua shida......tupe source ya hio kushambulia kitovu cha ulaya.....au ndo kama ile ya kusema Putin ataichukua Ukraine ndani ya siku 3 mkiombwa source mnajikataView attachment 2367401View attachment 2367402

"Kama Finland na Sweden watajiunga NATO nitashambulia kwenye nchi kitovu cha Ulaya"

Haya ni maneno aliyatamka Putini kabla Swenden Na Finland hawajajaza form za kujiunga na Nato lakini vita Ukrean inaendelea, hayo maneno uliyo quote hapo juu aliyosema Putini alikuja kusema baada ya kuona ameshindwa kuzuia Finland na Sweden wasijiunge na NATO akasahau kauli yake ya kwanza,

Ndio maana US na Ulaya sasaivi wanajua fika kwamba Putini ni kiongozi muongo na hupenda kubadilisha maneno anapoona anatakiwa kuchukua hatu kwa kile alichokisema awali.

1. Kumbuka pia Putin alisema endapo Ukrean watajiunga Ulaya pia atatumia nuclear alishindwa pia.

2.Putini alisema pia akijua US na Ulaya inaisaidia Ukrean atashambulia nuclear huko Marekani na Ulaya kashindwa, na hili jambo siku ya Pili US walimjibu kwamba "ni sisi ndio tunaoisaidia Ukrean hapa duni na mbinguni" haya ni maneno alijibiwa Putini na Mkuu wa mambo ya Usalama wa marekani.

3. Lakini pia fahamu kwamba Finland na US sasa wanafanya mazoezi ya pamoja Finland mbona hajachukua hatua?

Na kwa kumalizia:
China naye pia alionya endapo Bi Pelosi Spika wa bunge la Marekani ataingia Taiwan atashambulia Taiwan lakini na Marekani na akasema moto utawaka na aliitahadharisha US isicheze na moto, lakini Bi Pelosi aliingia Taiwan Mchana kweupe na Air Force One ya Marekani.

Na Pelosi wakati anazungumza na Rais wa Taiwan alimuambia tumeambiwa ni nikitua hapa nitashambuliwa na vita itaanzia hapa lakini mimi nimekuja na nipo hapa hiyo vita ianze tuone. mchina kaufyata pia
 
Do you even know how much energy costs today in Europe?

Vikwazo waliweka kwa matarajio ya kufanya maisha kuwa magumu sana kwa wananchi wa Russia ili hatimae kwa hasira za ugumu wa maisha wananchi wenyewe wamwondoshe Putin.

Matokeo yamekuwa kinyume na walivyotarajia. Maisha yamekuwa magumu zaidi kwa walioweka vikwazo.
Unaongea utadhani hayo madhara ya vikwazo hawayafeel hao Warusi.Kwakuwa hawana pa kusemea machungu ya vikwazo haimaanishi kwamba maisha yao ni rahisi kwa sasa,wamekaa kimya kwakuwa wanatawaliwa kwa mkono wa chuma.Sasa kama wako vizuri ni kitu gani kimewafanya hadi baadhi wapate ujasiri wa kuingia barabarani baada ya kutangazwa hiyo 'partial mobilization' na wengine hadi kuamua kukimbia Nchi?
 
Nafikiri semtawa kaongea ukweli .
Huezi kuongeza ukubwa wa mipaka halafu ukawa na idadi ndogo ya askari
Ukisha teka maeneo lazima uwe na askari wakuendelea kuilinda sehemu ulizoteka...wengi wanafikiri putin kachoka. Huyu mtu alijiandaa na hii vita muda mrefu sana . Sasa katangaza vita rasmi subirini kuona mengi na uchaguzi ndio huo unafanyika huko donesk na luhansk tusubiri.
Usihadaike na siamba za Vlad alipo sasa ni maji ya shingo.
 
Nachallenge tu kumchukulia Putin kirahisi. Urusi inaweza kuziumiza nchi za magharibi kuelekea msimu wa baridi na kuchochea wananchi mitaani. Pili, hoja ya kuongeza jeshi ni kulinda nchi.[emoji120][emoji120][emoji120]

Kama kuna kitu huwa mnachekesha sana ni hii point niliyoquote.Hivi unawachukulia wao Western kuwa wajinga sana kwamba hawajui watasurvive vipi kipindi cha baridi? Huyo Russia angekuwa na huo uwezo wa kuwaadhibu kwa kutumia hiyo karata ya kuwanyima gesi ili waumie angekuwa keshaifanya muda mrefu sana.Winter itakuja na itapita na tutarudi hapa kuwaulizeni tena na hamtokuwa na majibu.
 
That sham referendum [emoji15] ! Sooner or later [emoji1255] Ukraine itarudusha ardhi Yake yote mpaka Cremia ! Putin has fu**d himself up !

And look ! This guy hasn’t even a successor! Hivi sema kweli, the guy dies who is next at Kremlin ? Sergei Lavlov ? Dmitry Peskov ? Medvedev? Come on !! Am happy [emoji2] tunashuhudia mengi sana in our generation including the crumbling of the Russian / Soviet empire.
Not crumbling of the west imperialists (beberu union )🤔
 
"Kama Finland na Sweden watajiunga NATO nitashambulia kwenye nchi kitovu cha Ulaya"

Haya ni maneno aliyatamka Putini kabla Swenden Na Finland hawajajaza form za kujiunga na Nato lakini vita Ukrean inaendelea, hayo maneno uliyo quote hapo juu aliyosema Putini alikuja kusema baada ya kuona ameshindwa kuzuia Finland na Sweden wasijiunge na NATO akasahau kauli yake ya kwanza,

Ndio maana US na Ulaya sasaivi wanajua fika kwamba Putini ni kiongozi muongo na hupenda kubadilisha maneno anapoona anatakiwa kuchukua hatu kwa kile alichokisema awali.

1. Kumbuka pia Putin alisema endapo Ukrean watajiunga Ulaya pia atatumia nuclear alishindwa pia.

2.Putini alisema pia akijua US na Ulaya inaisaidia Ukrean atashambulia nuclear huko Marekani na Ulaya kashindwa, na hili jambo siku ya Pili US walimjibu kwamba "ni sisi ndio tunaoisaidia Ukrean hapa duni na mbinguni" haya ni maneno alijibiwa Putini na Mkuu wa mambo ya Usalama wa marekani.

3. Lakini pia fahamu kwamba Finland na US sasa wanafanya mazoezi ya pamoja Finland mbona hajachukua hatua?

Na kwa kumalizia:
China naye pia alionya endapo Bi Pelosi Spika wa bunge la Marekani ataingia Taiwan atashambulia Taiwan lakini na Marekani na akasema moto utawaka na aliitahadharisha US isicheze na moto, lakini Bi Pelosi aliingia Taiwan Mchana kweupe na Air Force One ya Marekani.

Na Pelosi wakati anazungumza na Rais wa Taiwan alimuambia tumeambiwa ni nikitua hapa nitashambuliwa na vita itaanzia hapa lakini mimi nimekuja na nipo hapa hiyo vita ianze tuone. mchina kaufyata pia
Leta source ya hio habari........kama sio RT au Sputnik tupa kule......uhuru na demokrasia
 
Alianza kwa kuichukua Crimea. Sasa hivi kura zinapigwa achukue Donbas; unaanzaje kusema mtu wa hivyo kachoka?

Angekuwa mchovu, kwa nguvu waliyowekeza NATO kwenye hii vita, sasa hivi ingekuwa inapiganiwa kwenye ardhi ya Russia kuelekea Moscow.

Putin ni mbabe lakini pia ni mwanamikakati (strategist) mzuri sana. Vita ikichukua muda mrefu, lazima mataifa ya NATO yatagawanyika kimsimamo. Tusubiri majira ya baridi tutapata majibu.
Tokea mwezi wa February mpaka sasa ivi tupo September bado miezi 4, mwaka ukamilike tokea Vita ianze. Kila siku majira ya baridi majira ya baridi tuuuu
 
Hana wanajeshi tokea lini??huko tu sasahivi alikua anatumia wafungwa na kampuni binafsi ya wagner hao wanajeshi kapoteza wapi?? Sahivi ndo anakusanya jeshi kamili...hao laki 3 anaoingiza sahivi ni wa kulinda mipaka yake na maeneo ambayo yatajiunga na urusi hii ngoma ndo kwanza inaanza watu walikua wanasomana tu.......hayo majimbo yatakayojiunga na urusi ukraine akiyashambulia ndo vita kamili itaanza kati ya urusi na ukraine ...kwa sasa kalikua tu ni ka opareshini maalum , vita kamili ndo inakuja sasa
Mabeberu wa buza watuliene wamwone kitu Mwamba ana wafanya,Bado special operation inaendele,kituo yenyewe inakuja🚶
 
Kura inapigwa katika majimbo manne. Asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine kaimega tena na NATO ipo bado mnambeza Putin?[emoji3]Kujiimarisha kijeshi ni kutokana na mipaka kuongezeka baada ya siku mbili majimbo manne yanajiunga Urusi. Mnajua nchi za NATO zitafanyaje? Pia Urusi tangu vita ianze anapambana na NATO. Kuelekea msimu wa baridi Ulaya, jamaa kapiga vita ya uchumi wa gesi. Hii vita ni kuombea imalizike. Msimchukulie Putin kirahisi. #Tuombe amani amani...[emoji120][emoji120][emoji120]
Hayo majimbo hajayamega Putin bali majimbo hayo raia wake wengi ni wale wenye asili ya Russia na wanaongea kirusi.

Walianza kujitenga tangu 2014 na walijitangaza kama Jamhuri ya Donetsk na Lugansk. Wala siyo Putin aliyeyatwaa majimbo hayo.
 
Wakati anashikilia majimbo mengi sijui mnafikiria Kwa nini
Yale majimbo yalishajitenga na Ukraine tangu 2014 na walijitanga kama Jamhuri ya Donetsk na Lugansk.

Hayo majimbo yanakaliwa na raia wengi wenye asili ya Russia na wanaongea pia kirusi.

Mbona ameshindwa kuikalia Kyve alichapika vibaya mno na msafara wake wa vifaru wa kilomita 65.
 
Na lengo kuu la Putin ni haya majimbo yenye watu wengi wa asili ya urusi
 
Kwani Nani kakuambia walitaka kuingia Kiev?
Wewe kweli shabiki maandalzi. Msafara wa vifaru, magari ya kivita na wanajeshi wa kilomita 65 uliokuwa unaelekea Kiev kuuteka mji mwanzoni mwa vita ulikuwa hujazaliwa eti?

Ule msafara ulipukutishwa ukasambaratika wote ikabidi wakusanye nguvu waelekee mashariki ambako ndo kuna hayo majimbo yaliyokuwa yamejitenga tangu 2014.

Unesahau mwanzoni mwa vita Putin aliwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais Zelensky?

Aliaminishwa na chawa wake kwamba kuipindua serikali ya Zelensky ni jambo la muda mfupi tu kumbe aliingizwa cha kike.
 
Huelewi maana ya “super power”. Ni aibu kwa Russia kushindwa kuingia Kiev miezi 7 baada ya vita.

Putin was overated. Heshima yake imeshuka pakubwa
Ni huku Africa ndo mnampa heshima.

Kwenye kuta za Pentagon na Langley wameshajua uwezo wa Putin.

Ameingia Ukraine, ila hatatoka salama. Itakuwa mwanzo wa kuanguka kwake.
 
Wewe kweli shabiki maandalzi. Msafara wa vifaru, magari ya kivita na wanajeshi wa kilomita 65 uliokuwa unaelekea Kiev kuuteka mji mwanzoni mwa vita ulikuwa hujazaliwa eti?

Ule msafara ulipukutishwa ukasambaratika wote ikabidi wakusanye nguvu waelekee mashariki ambako ndo kuna hayo majimbo yaliyokuwa yamejitenga tangu 2014.

Unesahau mwanzoni mwa vita Putin aliwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais Zelensky?

Aliaminishwa na chawa wake kwamba kuipindua serikali ya Zelensky ni jambo la muda mfupi tu kumbe aliingizwa cha kike.
Miezi 3 sio😀😀hujiulizi kwa nini mrusi alimtaka zaidi mfungwa mmoja tu kwa wafungwa zaidi ya 200 wa ukraine?? Mambo yanaiva sasa ,hio misafara ya wafungwa na majeshi ya kukodi hayajatia hasara yoyote kafara tu ya kupima upepo
Screenshot_20220925-122305_RT News.jpg
Screenshot_20220925-122332_RT News.jpg

Huyu jamaa wa upinzani mda si mrefu atakuja kua rais wa kipande cha Ukraine itakayobakia ...............acha watu wacheze karata zao.......ikishakua vita kamili mrusi hatakua anapiga kama anapambana na kikundi cha magaidi....ataipiga ukraine kama taifa na huyo shoga lazima atamtoa aweke kibaraka wake kama NATO na wenzie walivyopindua serikali halali ya Ukraine na kumuweka kibaraka wao Zelensky .....huyo mpinzani pia ana support yake pale kiev
 
Pitia hapo juu upate sura ya pili juu ya yanayo endelea Ukraine na Russia.
 
Do you even know how much energy costs today in Europe?

Vikwazo waliweka kwa matarajio ya kufanya maisha kuwa magumu sana kwa wananchi wa Russia ili hatimae kwa hasira za ugumu wa maisha wananchi wenyewe wamwondoshe Putin.

Matokeo yamekuwa kinyume na walivyotarajia. Maisha yamekuwa magumu zaidi kwa walioweka vikwazo.
Kwahiyo unadhani kupanda Kwa gharama za nishati ndo kutabadilisha mtazamo wa Ulaya dhidi ya Russia?!
 
Back
Top Bottom