Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

Pia kitendo cha Putin kuanza kuwakusanya raia kwa nguvu waende wakapigane Ukraine (sawa na leo hii itokee vita halafu Serikali iseme inawataka watu wote wenye umri kati ya miaka 18 na 60 kwenda vitani kupigana). Sasa Warusi wanahangaika kukimbia nchi yao kwa hofu ya kupelekwa mstari wa mbele nchini Ukraine kwa nguvu. Hapo katikati, Putin alianza kuwahadaa raia wakapigane kwa ahadi ya kuwalipa dola 2,700 kwa mwezi. Wajinga wakaenda, wakaishia kwenye majeneza, na hela waliyotegemea wapate, ikawa ndiyo mwisho.

Vita hii ikienda tu mpaka mwishoni mwa 2024, Russia itakumbwa na mdororo mkubwa wa uchumi. Mpaka mwishoni mwa 2024, nchi zote za Ulaya zinazotegemea mafuta na gas toka Russia zitakuwa zimepata alternative supplies, na hapo wataweza kuweka vikwazo kwa 100% dhidi ya chochote cha Russia.
 
Vita hivi vitaibua Russia mpya, yenye demokrasia na inayoheshimu uhuru na haki za raia wake. Warusi wana bahati mbaya sana, muda mrefu, tangu enzi za Stallin, wameishi kwenye udikteta miaka yote,na yeyote anayehoji, inakuwa ndiyo death sentense yake.
 
Sisi ndio tunampa kichwa kwamba jamaa ni mbabe sana, inawezekana kweli ni mbabe ila hii vita ishamchosha, mbaya zaidi inamtengenezea uhasama na raia wake, the way anaongea sio Putin yule wa kipindi kile anaanzisha hii vita.
Alianza kwa kuichukua Crimea. Sasa hivi kura zinapigwa achukue Donbas; unaanzaje kusema mtu wa hivyo kachoka?

Angekuwa mchovu, kwa nguvu waliyowekeza NATO kwenye hii vita, sasa hivi ingekuwa inapiganiwa kwenye ardhi ya Russia kuelekea Moscow.

Putin ni mbabe lakini pia ni mwanamikakati (strategist) mzuri sana. Vita ikichukua muda mrefu, lazima mataifa ya NATO yatagawanyika kimsimamo. Tusubiri majira ya baridi tutapata majibu.
 
Wanapiga kelele nyingi ili kuficha shida wanazozipata sasa na watakazo zipata baadae.........vita kuendelea kwa muda mrefu kwa sasa ni afadhali kwa Putin ,hivi vikwazo vinamletea pesa nyingi sana mrusi huku walioweka vikwazo vinawatafuna wao
Screenshot_20220925-093413_Sputnik.jpg
Screenshot_20220925-093453_Sputnik.jpg
Screenshot_20220925-092938_RT News.jpg

Mzee baba kama anacheza chess vile, anajua wapi aweke kete zake
 
Alianza kwa kuichukua Crimea. Sasa hivi kura zinapigwa achukue Donbas; unaanzaje kusema mtu wa hivyo kachoka?

Angekuwa mchovu, kwa nguvu waliyowekeza NATO kwenye hii vita, sasa hivi ingekuwa inapiganiwa kwenye ardhi ya Russia kuelekea Moscow.

Putin ni mbabe lakini pia ni mwanamikakati (strategist) mzuri sana. Vita ikichukua muda mrefu, lazima mataifa ya NATO yatagawanyika kimsimamo. Tusubiri majira ya baridi tutapata majibu.
Mataifa ya Ulaya yalijua mapema kama Russia atakata Gas ndo maana wakaanza kupunguza matumizi na kuongeza akiba ya Gas. Ujerumani Kwasasa gas reserves yake imefikia 90% Licha ya Russia kukata kabisa Gas. Mpaka November wanasema itafika 95% kiasi ambacho kitatosha kabisa kuwapitisha kwenye kipindi chote cha baridi

German gas storage 90% full ahead of winter despite Russian cuts
20.09.2022

German Economy Minister Robert Habeck said Germany has a chance of getting through the winter "comfortably" despite the lack of Russian gas. Germany is on track to meet a 95% storage capacity target by November.
Gas storage facilities in Germany are more than 90% full, according to data released by the Aggregated Gas Storage Inventory (AGSI), a European energy data platform.

The German government has planned for 95% of storage capacity to be filled by November. The storage is seen as essential for Germany to get through winter without Russian gas imports.

"If everything goes well, savings in Germany are high and if we have a bit of luck with the weather, we will have a chance at getting through the winter comfortably," Economy Minister Robert Habeck said on Monday.

https://www.google.com/amp/s/amp.dw...ead-of-winter-despite-russian-cuts/a-63178397
 
Kura inapigwa katika majimbo manne. Asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine kaimega tena na NATO ipo bado mnambeza Putin?😀Kujiimarisha kijeshi ni kutokana na mipaka kuongezeka baada ya siku mbili majimbo manne yanajiunga Urusi. Mnajua nchi za NATO zitafanyaje? Pia Urusi tangu vita ianze anapambana na NATO. Kuelekea msimu wa baridi Ulaya, jamaa kapiga vita ya uchumi wa gesi. Hii vita ni kuombea imalizike. Msimchukulie Putin kirahisi. #Tuombe amani amani...🙏🙏🙏
kumbe asilimia 15 kabla mulitangaza 20%, sasa imepungua sio., fahamu kwamba bado battle inaendelea ni vile watu wako cold room wanaandaa namna kwenda kuwachakaza hao raia laki 300,000, vita bado ni mbichi sana Ukrean wanategemea kukomboa mipaka ya nchi yao yote by mwezi December mwaka huu,
 
Nafikiri semtawa kaongea ukweli .
Huezi kuongeza ukubwa wa mipaka halafu ukawa na idadi ndogo ya askari
Ukisha teka maeneo lazima uwe na askari wakuendelea kuilinda sehemu ulizoteka...wengi wanafikiri putin kachoka. Huyu mtu alijiandaa na hii vita muda mrefu sana . Sasa katangaza vita rasmi subirini kuona mengi na uchaguzi ndio huo unafanyika huko donesk na luhansk tusubiri.
 
Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita.

Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye kueleza hayo;

1. Kitisho cha kutaka kutumia Nyuklia ili kumaliza vita.
Sote tunajua Russia ni taifa kubwa kijeshi likiwa na shehena za kila namna za kivita na kiteknolojia, kitendo chochote cha Russia kupiga mkwara kuwa huenda wakaanza kutumia nyuklia ili kuishinda Ukraine, hiyo ni dalili ya kukata tamaa kwa 100%. Ni sawa sawa na serikali ya Tz itangaze kutumia mizinga, makombora na vifaru ili kuwaliza panya road wa Dar!

2. Kuita wanajeshi wa akiba wasiopungua laki tatu ili kwenda vitani Ukraine.
Hawa wanaoitwa wanajeshi wa akiba kumbe ni raia wanaume wa kawaida wa Russia ama kwa hiari yao au kwa nguvu wanashurutishwa kwenda vitani sasa.
Mantiki yake ni nini na kwanini iwe sasa?
Je, wanajeshi rasmi wa Russia wamepungua sana?
Je, vita imekuwa kubwa na nzito kwa Russia kiasi cha kuokoteza vijana mtaani ili kuipigania Russia?

3. Putin kulalamika kuwa sasa amegundua NATO na USA wanaisaidia Ukraine kisiri kwa hali na mali.
Hili ndio limenishangaza zaidi. Sote tunajua (sio siri) kuwa USA na NATO wapo bega kwa bega na Ukraine tangu awali. Na tangu awali Putin alishaonya kuwa yoyote atakayeisaidia Ukraine moja kwa moja kwenye hii vita atakiona cha mtema kuni mara moja (immediately military reaction from Russia). Sisi tulitegemea Russia ateremshe kichapo cha chap chap kizito kwa USA na nchi za NATO halafu ndio aje kwa umma kusema hizo blah blah. Ama basi atangaze kuitisha special military operation against USA and NATO ili tumuelewe.

4. Russia kutangaza kuwa kwa sasa inataka zaidi mazungumzo ya kumaliza vita!
Wakati vita hii inaanza Russia ilikuwa haioni kivilee faida ya kumaliza mzozo huu kwa mazungumzo ya mezani na Ukraine, Russia ilikuwa mwendo mdundo kufurumusha mabomu katika ardhi ya Ukraine. Wakati huu ambao Russia inatamani mazungumzo zaidi ili kumaliza vita, upande wa Ukraine wao hawataki sana mazungumzo kama ilivyokuwa awali.
Ongeza No.5., Putin alionya Finland na Sweden wakipeleka ombi la kujiunga Nato atashambulia kitovu cha ulaya, lakini ombi lilifanyika mchana kweupe jamaa kajifanya kama ana pamba za masikio
 
kumbe asilimia 15 kabla mulitangaza 20%, sasa imepungua sio., fahamu kwamba bado battle inaendelea ni vile watu wako cold room wanaandaa namna kwenda kuwachakaza hao raia laki 300,000, vita bado ni mbichi sana Ukrean wanategemea kukomboa mipaka ya nchi yao yote by mwezi December mwaka huu,
Mwezi wa 12 , crimea tu ina miaka kibao hawajakomboa hata ka mti kamoja.........russia ameshamega nchi kura zikishapita kwa sasa mkiingia huko itakua sawa na kuomba vita kamili na mrusi......yajayo yanafurahisha
 
Ongeza No.5., Putin alionya Finland na Sweden wakipeleka ombi la kujiunga Nato atashambulia kitovu cha ulaya, lakini ombi lilifanyika mchana kweupe jamaa kajifanya kama ana pamba za masikio
Shida mnaendeshwa na mihemko ndo maana hata kuelewa inakua shida......tupe source ya hio kushambulia kitovu cha ulaya.....au ndo kama ile ya kusema Putin ataichukua Ukraine ndani ya siku 3 mkiombwa source mnajikata
Screenshot_20220925-104445_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220925-104503_Samsung Internet.jpg
 
Mwezi wa 12 , crimea tu ina miaka kibao hawajakomboa hata ka mti kamoja.........russia ameshamega nchi kura zikishapita kwa sasa mkiingia huko itakua sawa na kuomba vita kamili na mrusi......yajayo yanafurahisha
Crimea vita ya kuiokomboa siku zote hizo ilikuwa haijaanza lakini sasa alivyoanza Putini ndio inaenda kumtoka kabisa kabisa, Putini vita kamili anaiogopa sana hana tena wanajeshi, kumbuka operation tu ya miezi 7 amelazimika kuwavisha gwanda raia ambao hawajui chochote kuhusu vita, jiulize jeshi la urusi liko wapi mpaka wanapelekwa raia??

Ile power tuliokuwa tunaambiwa iko wapi? Ivi kweli Raia ataweza kuzuia mapambano makali ya NATO ambayo baba zao zimewapeleka na maji mpaka bwankubwa akalazimisha wao wakapambane? Putini ataweza vipi vita kamili kwa setuation hii aliyofikia miezi 7???
 
Unajua kama Kuna kitu referendum kinaendelea ndani ya huko wanakosaidia mabeberu wote na yule anayetumiwa na mabeberu na wote Hawajui nini Cha kufanya[emoji848]

That sham referendum [emoji15] ! Sooner or later [emoji1255] Ukraine itarudusha ardhi Yake yote mpaka Cremia ! Putin has fu**d himself up !

And look ! This guy hasn’t even a successor! Hivi sema kweli, the guy dies who is next at Kremlin ? Sergei Lavlov ? Dmitry Peskov ? Medvedev? Come on !! Am happy [emoji2] tunashuhudia mengi sana in our generation including the crumbling of the Russian / Soviet empire.
 
Crimea vita ya kuiokomboa siku zote hizo ilikuwa haijaanza lakini sasa alivyoanza Putini ndio inaenda kumtoka kabisa kabisa, Putini vita kamili anaiogopa sana hana tena wanajeshi, kumbuka operation tu ya miezi 7 amelazimika kuwavisha gwanda raia ambao hawajui chochote kuhusu vita, jiulize jeshi la urusi liko wapi mpaka wanapelekwa raia??

Ile power tuliokuwa tunaambiwa iko wapi? Ivi kweli Raia ataweza kuzuia mapambano makali ya NATO ambayo baba zao zimewapeleka na maji mpaka bwankubwa akalazimisha wao wakapambane? Putini ataweza vipi vita kamili kwa setuation hii aliyofikia miezi 7???
Hana wanajeshi tokea lini??huko tu sasahivi alikua anatumia wafungwa na kampuni binafsi ya wagner hao wanajeshi kapoteza wapi?? Sahivi ndo anakusanya jeshi kamili...hao laki 3 anaoingiza sahivi ni wa kulinda mipaka yake na maeneo ambayo yatajiunga na urusi hii ngoma ndo kwanza inaanza watu walikua wanasomana tu.......hayo majimbo yatakayojiunga na urusi ukraine akiyashambulia ndo vita kamili itaanza kati ya urusi na ukraine ...kwa sasa kalikua tu ni ka opareshini maalum , vita kamili ndo inakuja sasa
 
That sham referendum [emoji15] ! Sooner or later [emoji1255] Ukraine itarudusha ardhi Yake yote mpaka Cremia ! Putin has fu**d himself up !

And look ! This guy hasn’t even a successor! Hivi sema kweli, the guy dies who is next at Kremlin ? Sergei Lavlov ? Dmitry Peskov ? Medvedev? Come on !! Am happy [emoji2] tunashuhudia mengi sana in our generation including the crumbling of the Russian / Soviet empire.
Hata kwa mchina mtajiuliza successor ni nani, wamashariki wana mifumo yao tofauti na mlivyokariri huko wa magharibi , successor yupo na anaweza akawa roho mbaya zaidi ya huyo aliekuwepo, kwani kuna siku Mmarekani alipanga au alijua kwamba ataibuka Putin??? Wao walishajua walimaliza kazi na kibaraka wao Gorbachev kumbe walikua wanaliwa timing tu.....hayo mawazo yenu pelekeni kwa nchi mlizozea kuzionea za Afrika na waarabu huko......ila kwa mrusi na mchina mipango yenu inafeli vibaya sana
 
Mataifa ya Ulaya yalijua mapema kama Russia atakata Gas ndo maana wakaanza kupunguza matumizi na kuongeza akiba ya Gas. Ujerumani Kwasasa gas reserves yake imefikia 90% Licha ya Russia kukata kabisa Gas. Mpaka November wanasema itafika 95% kiasi ambacho kitatosha kabisa kuwapitisha kwenye kipindi chote cha baridi

German gas storage 90% full ahead of winter despite Russian cuts
20.09.2022

German Economy Minister Robert Habeck said Germany has a chance of getting through the winter "comfortably" despite the lack of Russian gas. Germany is on track to meet a 95% storage capacity target by November.
Gas storage facilities in Germany are more than 90% full, according to data released by the Aggregated Gas Storage Inventory (AGSI), a European energy data platform.

The German government has planned for 95% of storage capacity to be filled by November. The storage is seen as essential for Germany to get through winter without Russian gas imports.

"If everything goes well, savings in Germany are high and if we have a bit of luck with the weather, we will have a chance at getting through the winter comfortably," Economy Minister Robert Habeck said on Monday.

https://www.google.com/amp/s/amp.dw...ead-of-winter-despite-russian-cuts/a-63178397
Do you even know how much energy costs today in Europe?

Vikwazo waliweka kwa matarajio ya kufanya maisha kuwa magumu sana kwa wananchi wa Russia ili hatimae kwa hasira za ugumu wa maisha wananchi wenyewe wamwondoshe Putin.

Matokeo yamekuwa kinyume na walivyotarajia. Maisha yamekuwa magumu zaidi kwa walioweka vikwazo.
 
Kura inapigwa katika majimbo manne. Asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine kaimega tena na NATO ipo bado mnambeza Putin?[emoji3]Kujiimarisha kijeshi ni kutokana na mipaka kuongezeka baada ya siku mbili majimbo manne yanajiunga Urusi. Mnajua nchi za NATO zitafanyaje? Pia Urusi tangu vita ianze anapambana na NATO. Kuelekea msimu wa baridi Ulaya, jamaa kapiga vita ya uchumi wa gesi. Hii vita ni kuombea imalizike. Msimchukulie Putin kirahisi. #Tuombe amani amani...[emoji120][emoji120][emoji120]

Absolute rubbish ! Don’t mess around with the United States of America ! Putin will definitely succumb! Kawaulize kina Osama, Alzawahir, Alawlaky, Albaghad, Saddam huko kuzimu waliko as for how long it patiently took to take them out !
 
Back
Top Bottom