Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

Acha kundaganya mazaa kutembelea ujiwe ni kumpoteza huyo jiwe watu walimchoka kuliko maelezo, mheshimiwa watu Wana Imani naye kubwa aache kutembelea Mambo ya jiwe atajiharibia kwa raia. Kwanza kwanini atembelee viatu vya mwenda zake?
Ni mda wa yeye kuja na vision zake na anataka kuacha legacy gani yeye Kama Raisi wa kwanza mwanamke kwa nchi yetu
 
Lazima aanze kuwateua akina January kama anataka kufika mbali
Watu mnawatamani sana team Msoga,ila kwa bahati mbaya hiyo nafasi hawana[emoji28]. Alafu CHADEMA mnawazaje kuwa na uchungu na anguko la CCM? Kama unaona bila ya January Makamba CCM haiwezi kwenda, ulitakiwa kufurahia Ili na nyinyi mpate nafasi siku moja.
 
Ni kweli kabisa, Rais mama Samiah, asitumbukizwe kwenye huo mtego.
Alitoa speech nzuri sana alipoingia atembelee SPEECH ile ile.
Hawa vibaraka wa mwendazake wana mawazo ya kumuangusha ili waje easement nchi haikuwa tayari kuongozwa na mwanamke.

Awe na maono yake, yeye kama yeye, na baada ya siku 21, apige stop, propaganda za kumuenzi jiwe zilizo kwenye media.

Aanze kujitangaza, amwage cheche, achague baraza atangaze baraza lake hata kama ni hao ila likatoa viungulia kama Mwigulu.
Afanye reshuffle ya MaRC, MaDC, hata kama kuwahamisha tokea kituo kimoja kwenda kingine..wapo wadhaifu, waharibifu awaondoe!

Asidanganyike na kuchapishiwa khanga mtaani😂. System is full of crooks!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mpuuzi wewe siyo kila anayeshauri ni CHADEMA au CCM, kuna wengine wapo huru wanataka maendeleo ya nchi na siyo vyama
 
Sure🙉🙉
 
Acheni Mama aongoze nchi
Mambo mengnie tumuachie mwenyewe mpangaji ni Mungu
 
Mimi siko bongo, ila siku hile niliona nguvu za umma...

Kikwete hakuwa na sababu ya kujitetea kwenye mazishi, ila aliona watanzania wanakoelekea
 
Yeye achape kazi,hayo ya kusemwa asiyajali yatampotezea muda na kumletea msongo bure,kila mwenye macho na masikio atayaona kwa macho na masikio yatafanyakazu yake
 
Mneshakula mihogo na maharage sasa ni muda wa kuongea useless things.

Wasomi wa Jf Bwana tabu tupu[emoji3][emoji3]
 
Mama anaineksna anakaimu kumbe ni rais kamili ushauri wangu
Picha zote za jpm zitolewe ofisin
Mabango yote ya jpm yatolewe barabarani
Ukikutwa unatajataja jina la jpm ukamatwe na kutekwa na wasiojulikana
Hii itafsnys tumsahau jpm na kumtegemea mama
 
Hawezi kufuata matakwa ya wana twitter!

Wana twitter ni kundi dogo sana ni kama 2% tu ya watz wote
 
Hilo gang la mwendazake wanampotosha kuendeleaa na maono ya mtu wao ni kumpoteza mama aisee, na Tena ikiwezekana miradi yenye hasara ka ndege sijui bwawa fyekelea mbali, mama aje na kipaumbele chake Cha kuinua uchumi na sector binafsi ili iajiri watu wengi, kuna swala la masilahi ya watumishi Basi Mei mosi hii awape kicheko Cha kuwapoza wafanyakazi ili kuanza na mwanzo mzuri na kupataa reception nzuri ya uongozi wake, so aje na kitu cha kukonga nyoyo za wananchi na kamwe asi dance beat za mwendazake atapotea.
Pia hao ccm wanaoimba beat za mwenda zake ni kuonywa Mara moja kuacha akishakuwa mwenyekiti, Sasa wimbo inakuwa ni awamu ya Samia pia aruhusu mikutano ya siasa na hao wabunge waliopewa ubunge waambiwe kabisa this time utapambana na upinzani na ukishindwa no mbeleko inakula kwako, so ccm wakiachiwa kupambanaa na upinzani huko majimboni watasahau power struggle kwa mama enemy atakuwa upinzani sio ccm wao kwa wao Kama walivo relax
 
Sisi tibisii tunasubiri siku za maombolezo ziishe ndipo tuanze kumpromo mama. Tutaanza upyaaa na hiyo taarifa ya sieijii usiwaze.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzanzibar anakuja kuamua Mambo ya watu kasulu ,namtumbo,horohoro ,au tunduma .

Ila hakuna huwezi kuta mtanganyika akaja amua mambo ya mwanakwereke,kibandamaiti ,kiembesamaki au wete na chake chake .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mwinyi hakuongoza kama Nyerere, pia Mkapa hakufuata ya Mwinyi, hata Magufuli hafuata ya Kikwete. Iweje Samia ndio analazimishwa aongoze kama Magufuli?
 
Hoja dhaifu sana labda ungeniambia team ndan ya chama zinaonekana kummeza kama anataka kuendelea aoneshe waz waz yupo team msoga ndio iliobak inanguvu ili kuisambalatisha SUKUMA gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…