Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

Kisiasa mama Samia anatakiwa aegemee Kwa Magufuli, hlo kundi Lina mtaji kisiasa. Akienda upande mwingine wa Twitter, atapitia wakat mgumu sana.
Halina nguvu hilo kabisa huko atapotea haraka
 
Mwinyi hakuongoza kama Nyerere, pia Mkapa hakufuata ya Mwinyi, hata Magufuli hafuata ya Kikwete. Iweje Samia ndio analazimishwa aongoze kama Magufuli?
Wanataka kumpoteza tu Samia na magufuli ni watu tofauti kuanzia kimalezi na kiutamaduni, Sasa Magufuli mwenyewe alikuwa haeshimu katiba na Sheria, Sasa kunwambia Samia afanye hvo ni kutaka kumharibia legacy yake
 
 
Atajua mwenyewe! Na wasipo pandisha tena madaraja wafanyakazi mwaka huu kwa sababu zao za hovyo hovyo! Za kununua ndege na kumuenzi yule dikteta uchwara, vita itaanza upya. Kwa sasa tunamvutia kasi.

Eti vita itaanza tena,acha masihara wewe,huna cha kumfanya. Mtu ambae unasubiria utashi wa Rais “kupandishwa madaraja” huna madhara yoyote. Wewe kama kweli unajiamini toka hadharani upigane hiyo vita na siyo kubwata hapa nyuma ya keyboard na ID fake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
ni mapema sana kumjudge Rais wetu mama Samia hebu tumuache jamani, yani hata maombolezo hayajaisha watu mmeshaanza
 

Subiri siku 21 zipite TIBISII watakaa sawa tu ,mapambio yote yatakwisha.

Mh SSH lazima 2025 achukue form za kugombea urais peke yake ndani ya CCM huo ndio utamaduni wao.
 
Mama anaineksna anakaimu kumbe ni rais kamili ushauri wangu
Picha zote za jpm zitolewe ofisin
Mabango yote ya jpm yatolewe barabarani
Ukikutwa unatajataja jina la jpm ukamatwe na kutekwa na wasiojulikana
Hii itafsnys tumsahau jpm na kumtegemea mama
atakuwa anafanya yale yale ya jpm. kutumie force kwa mambo yasiyo na msingi.
 
Kichwa cha habari na utangulizi wako sikatai, ila sasa hoja zako zote tatu ni dhaifu sana Mkuu!!!!
Kajipange upya.
 
 
wewe kweli ni kilaza wa hatari yaani kutokuitwa awamu ya 5 au 6 ndio sbb awe wa awamu moja sijawahi kupata kuona mtu mpuuzi kama wewe

eti asipovunja baraza la mawaziri anakuwa wa awamu moja...ni dhahiri mmebinywa mapumbu mnaanza kuwehuka hovyo

kuwa wa awamu moja itategemea na performance yake pekee ndio sbb ya kuendelea au kutokuendelea na siohizo sbb mavi ulizozitoa
 
Mama SAMIA Ni Rais wa Tanzania kupitia CCM, Chama kinachotawala ni CCM, Kinachotakiwa kwa sasa ni yeye kuhakikisha kuwa anakuwa Mwenyekiti rasmi wa CCM, Mengine ni maamuzi yake yeye mwenyewe anataka maji yaende katika mkondo gani, Kuvunja baraza la mawaziri ni mapema mno kwake kwa kuwa serikali ni ya CCM na mawaziri ni wana CCM hivyo kuwaondoa hakumfanyi yeye kujitenga na CCM na Magufuli, Kumbuka wote ni wana CCM Hawa.
Mengineyo muda utaamua.
 
Mh. Raisi hajamaliza wiki mshaanza kubeti? 😂😂
Usiishi kwa mazoea mkuu, ngoja nijibu hoja zako
Gvt yake kuitwa awamu ya tano sio tija watu wataangalia kazi alizofanya, maendeleo aliyosababisha, utulivu na amani na vitu kama hivyo. Hilo neno awamu ni la 'kipropaganda/kisiasa' halitambuliki kisheria labda hukuwa unafahamu hilo.
Kuvunja baraza kwa faida ya nani? Kinachotakiwa ni utendaji thabiti kama Kuna waziri anazembea ndio atapaswa kung'olewa, Mh. Raisi hatotofautiana sana na mwenendo aliokuwa nao mtangulizi wake kwani manufaa ya utendaji wake yalionekana na kukubalika na wengi.
TBC sioni kama wanakosea, Jiwe hakuwa kiongozi wa kawaida, hapaswi kusahaulika mapema kama unavyotaka. Na hio inampa mama changamoto ya kufanya bidii kwani akiachwa atambe kama unavyotaka unaweza ukamchukia bure sababu wote tunajua 'madaraka matamu'. Hivyo kumbukumbu za JPM ni afya kwa utendaji kazi, ujumbe wake ni 'hakuna kulegeza kazi mbele kwa mbele'
JPM alikuwa na mapungufu pia, hapa nadhani Mh. Raisi atarekebisha kwaajili ya ustawi wa Taifa letu
 
 
 
Sidhani kama ana ujasiri juo, japokuwa kama Jiwe ndio alikuwa Makamu Kisha Rais akafariki angeshavunja baraza
 
Endeleeni kupiga ramli chonganishi. Ila mama tunae sana,ukitaka kuona moto wake subiri apewe mkoba chama na tukumbuke sasahivi chama hakina mwenyekiti wala katibu mkuu.ukiona kakabiziwa chama ujue tunae sana labda wasimpe chama
 
Labda kwa sababu tupo kwenye maombolezo ya Siku 21 tuvute subira.Bado wanamkumbuka Jiwe.Baada ya siku 21 kwisha ndipo tunaweza ongea chochote!
 
Na hata wabunge kila mda magufuli kah akiwa mwenyekiti awachimbe biti na kufunga kabisa habari za mwendazake na mapambio yeye ni Raisi kwa sasa
Yaani sipendi hii tabia ya maCCM. Sijui yakoje? Badala ya kuangalia namna gani tutaiendelleza nchi yetu tukiongozwa na Samia wao kutwa kucha Magufuli. Unajua wanaCCM wengi walimpenda Magufuli kuwadhibiti wapinzani na hivyo kupita kwenye uchaguzi kirahisi. Hicho ndio kinawauma kwamba sasa 2025 watapitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…