MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.