Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kumbe mlidhani ndio mnamfunga mdomo? Sasa huyo ndio Lisu.Sasa kama CCM ni majizi mbona amepokea mchango wao wa gari kwa bashasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mlidhani ndio mnamfunga mdomo? Sasa huyo ndio Lisu.Sasa kama CCM ni majizi mbona amepokea mchango wao wa gari kwa bashasha
Na alisema jana kuwa kama haya majizi yanaona ule mchango wao utamfunga mdomo sasa ndiyo atawapekea moto hadi wababuke ngozi, huyo ndiye Lissu hajawahi kunyamazishwa na mjinga yoyote.Kumbe mlidhani ndio mnamfunga mdomo? Sasa huyo ndio Lisu.
Ukilaza ktk ubora wakoWakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Ccm hawamuwezi Lissu, itabidi tu waungane nae
Msaga Sumu unataka kumlisha nani hiyo sumu 😂Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Nimuda amepamiss sana mahakamani akatumie taaluma yake vizuri ni sawa na mwal.usipofundisha kwa muda mrefu utasahau hata fomula ya kusolve fxLisu ndiyo anataka mahakamani kuliko CCM
Hata wapinzani hawanunuliwi ila wao ndio wanahonga wapokelewe CCM.Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Akili ulimkabidhi nani wewe!?Umewahi kuona viumbe wanaaibika hadi wanapata kifaduro?Haya,endelea na upompompo wako.Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Escrow plus MeremetaKwani CCM si majizi
1. Mfano MRAMBA NA YONA WALIPOIBA PESA ZA WANANCHI WALIKUWA NI CUF?
2. CCM WALIPOIBA PESA ZA EPA WALIKUWA NI CUF?
3. CCM WALIPOIBA PESA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII WALIKUWA NI CUF?
Britanicca
Yeah Siasa mchezo mchafu lo
Tangu mwaka 96, lissu alianza kushtakiwa, amepigea rasi Zaid ya kumi, wote waliomtesa,,, washakufaWakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"