Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

Sawa kabisa kwenye "Kangarooo COURTS TANZANIA"
 
Nikajua unaandika vitu vya maana kumbe mpiga zumari wa mtu sio maendeleo tunakazi kubwa sana kama taifa kufika nch ya ahaid maziwa na asali
 
Lisu ndiyo anataka mahakamani kuliko CCM
 
Unaonekana humjui vizuri huyo jamaa.. usifikiri anaongea kama kengele... Nakuuliza wewe CCM ni nani? kwa mfano akitafsiri kuwa CCM = Chama Cha Majizi.. halafu Wewe ndio umeenda kushtaki ukaambiwa uthibitishe kuwa CCM yako ndio hicho alichosema utakuwa na kesi?
 
Ccm hakuna mwenye akili ya kushindana na lisu mahakamani, cha kufanya wampige risasi, maaana shetani jiwe alijaribu ikashindikana
 
Nimesoma alafu nikarudia tena alafu nikacheka
 
CCM hawawezi kumburuza Lissu mahakamani.

Wanajua Lissu ana hamu sana wafanye hivyo.

Lakini hawawezi, kwa sababu wakimburuza mahakamani tu, ndipo atapata nafasi ya kuanika madudu yoote na kuwahoji vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…