KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

Mkeo anakula bony mwikola au ugoro kwa jina lingine
 
Asante sana,,,hii mbinu Kali sana
 
Kama kuna mtu nina mamlaka ya kukagua kila alicho nacho ni mke wangu.
Akichelewa kunyoa tu ninamuambia afyeke nyasi kwa maana nimekagua,sasa sembuse mkoba!
Huo uhuru endelea nao wewe na Wazungu wenzio.
 
Ikiwekwa kwenye chai hiyo umekwisha...
 
Vumbi hilooo....amekuletea,piga shoo shoo..bendera bati mlingoti Zelensky....

Then Ki Putin Putin muulize mama watoto kuna mtu amenipa Unga flani niletee niliuweka kwenye pochi yako hapo nataka niupake....
 
Kama kuna mtu nina mamlaka ya kugua kila alicho nacho ni mke wangu.
Akichelewa kunyoa tu ninamuambia afyeke nyasi kwa maana nimekagua,sasa sembuse mkoba!
Huo uhuru endelea nao wewe na Wazungu wenzio.
Kama Sehemu zake za Siri karuhusu,,nizifanye nachotaka,,,sasa niogope kushika MKOBA wake kwa lipi!?
 
Kuna ka ukweli hapa.
 
Sasa sisi na mkeo nani anajua zaidi. Hivi kwa akili yako utapata majibu ya kukusaidia hapa wakati watu hawana uwezo wa kujua hicho ni kitu gani?
Lengo,,,ni kupata maono ya wengine,,,huenda Kuna wengine washakutana situation hii,,,ili nipate mawazo Yao,,,then niyafanyie uchambuzi kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…