KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.

NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGU👇👇👇
Dawa ya kuondoa makovu usoni inauzwa na watu wanaouza dawa za kienyeji mzee ,kama mkeo anachunusi ndio hizo sasa

USSR
 
Back
Top Bottom