Sasa sisi unakuja kutuuliza tukusaidie nini?Nikimuuliza sidhani kama ataniambia ukweli,,,najua atatafuta namna ya kunidanganya,,,na nitamfanya aanze kufanya vitu kwa Siri,,,,maana atakuwa ashajua nishaanza kumfatilia
Kabeeeeeeeesa lo. Nikija nataka tena 🤭😁😁😁!Hayanaga muongozo... Kama kule kwenye uwanjani...
Ugoro mixer, kuberi
Unapajua pale, darajani kwa wamasai Ile njia inatokea makaroboi 😂Ugoro mixer, kuberi
Eeh mzee🤣Unapajua pale, darajani kwa wamasai Ile njia inatokea makaroboi 😂
Chini ya ulimi Tena 😂Ugoro huo, weka chini ya Ulimi au Puani..Uruke kimasai
Basi wewe ni mdau sio bure 🤣Eeh mzee🤣
Mi sio mtumizi chiefBasi wewe ni mdau sio bure 🤣
Naskia Kuna wa kunusa na kubwia au ni uwongo?
Kwani ni haramu? Ingekuwa haramu ingekuwa inauzwa kwa maficho kama bangi 😂Mi sio mtumizi chief
Hivi kwa coment zangu nafafania na mbwia sembe chief🤔Basi wewe ni mdau sio bure 🤣
Naskia Kuna wa kunusa na kubwia au ni uwongo?
Hiyo sio sembe bhana ... Hiyo inaitwa gisijuu kwa kimasaiHivi kwa coment zangu nafafania na mbwia sembe chief🤔
Shemeji twende kwa jamaa tukaangalie kimfuko kina nini.Sasa si umuulize mkeo...
🤣Utakua mtumizi weweHiyo sio sembe bhana ... Hiyo inaitwa gisijuu kwa kimasai