Hilo laa serikali kutafuta wafanyakazi kwa tochi miaka ijayo ni ndoto za mchana. HAIWEZEKANI. Kumfoward VETA kijana mdogo wa miaka 16 aliyefaulu kwenda form 5 ni upunguani wa hali ya juu. VETA imetoa watu wangapi wenye ubunifu wa hali ya juu kuliko UDSM, UDOM au DIT?Nimejaribu kuwaza ingawa sio mawazo yangu ni mawazo ya kuambiwa na nimesema km nilivyoambiwa. Wakati ananieleza alikua anaongea kwa uchungu sana. Mjukuu wake mmoja amefaulu kwenda form 5&6 ila kampiga marufuku kwenda huko kam-forwad VETA fasta akasomee masuala ya UMEME, nilipohoji kwanini alimkataza asiende 5&6 akanipa jibu kwamba 5&6 imeshapitwa na wakati hatutakiwi tena kuishi nyuma ya muda bali inatakiwa tuishi mbele ya muda.
Kakuna kitu kama icho cha serikali kutokupata wafanyakazi kirahisi ...tatizo ni Waliopo makazini ndiyo wameshindwa kutumia akili kufanya kazi na kuongeza ajira....wafanyakazi wa serikali wana akili finyu sanaNajaribu kujiuliza tu wakuu.
Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.
Sasa katika maongezi na dodoso za hapa na pale katika harakati za kutaka kuujua na kuufukunyua fukunyua ukweli nikauliza swali kuhusu masuala ya ajira kipindi hicho cha kwao huko miaka hio unatoka tu Shule au Chuo kazi mkononi kikubwa tu umesoma basi na kipindi hiki cha Artificial Intelligence, jibu nililopewa na mwenye jibu ni kwamba mjukuu wake ameenda Dodoma mara 60 tangu alipomaliza Chuo mwaka 2015 halafu mara zote hizo mpaka huu mwaka 2025 hakuna hata mara moja aliyobahatika kupata kazi Serikalini. Nikachoka tena, nikajaribu kuhoji zaidi na zaidi ili nipate majibu jibu nililopewa sitaki hata kuliandika hapa.
Sasa nikakaa chini nikaanza kujiuliza inamaana huko mbele mbele kuna kipindi kitafika Serikali itawatafuta watu wa kufanya kazi Serikalini kwa TOCHI? Yaani watu watahamishia nguvu zao na mawazo yao upande mwingine na sio kufanya kazi Serikalini tena km ilivyo sasa? Just imagine kijana tangu 2015 kasota mpaka 2025 yeye ni safari za Dodoma tu na hajawahi kubahatika hata mara moja kupenya pale juu zote anaambulia za uso tu.
Nimejaribu kuwaza ingawa sio mawazo yangu ni mawazo ya kuambiwa na nimesema km nilivyoambiwa. Wakati ananieleza alikua anaongea kwa uchungu sana. Mjukuu wake mmoja amefaulu kwenda form 5&6 ila kampiga marufuku kwenda huko kam-forwad VETA fasta akasomee masuala ya UMEME, nilipohoji kwanini alimkataza asiende 5&6 akanipa jibu kwamba 5&6 imeshapitwa na wakati hatutakiwi tena kuishi nyuma ya muda bali inatakiwa tuishi mbele ya muda.
Looking for Chinese Translator (Dar es Salaam)
We are looking for an experienced Chinese translator based in Dar es Salaam. Good budget for the right person. Must be reliable and able to handle professional translation work.
If interested or you have any recommendations please send CVs
.............
Watu watahamisha mawazo na akili
Nimewasilisha.
Huu uzi ufutwe.... Active futa uzi hauna la maanaNajaribu kujiuliza tu wakuu.

Mkubwa akiongea nyamaza lasivyo utaonekana huna adabuKakuna kitu kama icho cha serikali kutokupata wafanyakazi kirahisi ...tatizo ni Waliopo makazini ndiyo wameshindwa kutumia akili kufanya kazi na kuongeza ajira....wafanyakazi wa serikali wana akili finyu sana
Wazee wapo mbele ya Muda washachoka kuishi nyuma ya Muda wanakula Mafao wewe unakula nini ushastaafu?Hilo laa serikali kutafuta wafanyakazi kwa tochi miaka ijayo ni ndoto za mchana. HAIWEZEKANI. Kumfoward VETA kijana mdogo wa miaka 16 aliyefaulu kwenda form 5 ni upunguani wa hali ya juu. VETA imetoa watu wangapi wenye ubunifu wa hali ya juu kuliko UDSM, UDOM au DIT?
Tusipende kuwaharibia watoto ndoto zao kwa kuwalazimisha waende VETA... sio kila kijana lazima awe fundi mchundo. Huyo babu anajuaje kama mjukuu wake ana kipaji kingine zaidi ya ufundi?
Hili pia nililisema ila alichojibu na mimi nimeona yule yupo sahihi ni kwamba ila sitoandika hapa yaan sipo tayari kuandika alichoniambia ila nimemwelewa sanaKukosa na kupata kwa mtu mmoja hakumaanishi wote wanakosa. Kwa hiyo serikali haitokuja kukosa watu wa kuifanyia kazi maana elimu ya vyuo haitokauka kirahisi lakini watu wanaopenda job security hawatoisha.
ipo sku kutakua hakuna kutangaza nafasi za ajira tena, zipo baadhi ya sekata computer inaweza kua effectient 101% dhidi ya binadam, translate ni kazi ndogo sana ata kumbi za conference zina translater tayar, kwa lugha nyepesi kufuata ajira mda wake umeishaNajaribu kujiuliza tu wakuu.
Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.
Sasa katika maongezi na dodoso za hapa na pale katika harakati za kutaka kuujua na kuufukunyua fukunyua ukweli nikauliza swali kuhusu masuala ya ajira kipindi hicho cha kwao huko miaka hio unatoka tu Shule au Chuo kazi mkononi kikubwa tu umesoma basi na kipindi hiki cha Artificial Intelligence, jibu nililopewa na mwenye jibu ni kwamba mjukuu wake ameenda Dodoma mara 60 tangu alipomaliza Chuo mwaka 2015 halafu mara zote hizo mpaka huu mwaka 2025 hakuna hata mara moja aliyobahatika kupata kazi Serikalini. Nikachoka tena, nikajaribu kuhoji zaidi na zaidi ili nipate majibu jibu nililopewa sitaki hata kuliandika hapa.
Sasa nikakaa chini nikaanza kujiuliza inamaana huko mbele mbele kuna kipindi kitafika Serikali itawatafuta watu wa kufanya kazi Serikalini kwa TOCHI? Yaani watu watahamishia nguvu zao na mawazo yao upande mwingine na sio kufanya kazi Serikalini tena km ilivyo sasa? Just imagine kijana tangu 2015 kasota mpaka 2025 yeye ni safari za Dodoma tu na hajawahi kubahatika hata mara moja kupenya pale juu zote anaambulia za uso tu.
Nimejaribu kuwaza ingawa sio mawazo yangu ni mawazo ya kuambiwa na nimesema km nilivyoambiwa. Wakati ananieleza alikua anaongea kwa uchungu sana. Mjukuu wake mmoja amefaulu kwenda form 5&6 ila kampiga marufuku kwenda huko kam-forwad VETA fasta akasomee masuala ya UMEME, nilipohoji kwanini alimkataza asiende 5&6 akanipa jibu kwamba 5&6 imeshapitwa na wakati hatutakiwi tena kuishi nyuma ya muda bali inatakiwa tuishi mbele ya muda.
Looking for Chinese Translator (Dar es Salaam)
We are looking for an experienced Chinese translator based in Dar es Salaam. Good budget for the right person. Must be reliable and able to handle professional translation work.
If interested or you have any recommendations please send CVs
.............
Watu watahamisha mawazo na akili
Nimewasilisha.
Aisee unatoa majibu yaleyale niliyopewa hivi na wewe ulikuwepo kwenye ile discussion na yule Mzee?ipo sku kutakua hakuna kutangaza nafasi za ajira tena, zipo baadhi ya sekata computer inaweza kua effectient 101% dhidi ya binadam, translate ni kazi ndogo sana ata kumbi za conference zina translater tayar, kwa lugha nyepesi kufuata ajira mda wake umeisha
Uzi wa kifara sana huu ...unafabya jf kuwa kama klabu ya mataputapuUzi unachoma km mwiba umeekuchoma sana
Sasa huko mbele mbele muda utaongea ngoja nisubiri kuona nilichoambiwa nyakati zinabadirika kwa haraka sanaHata mshahara unaposhuka, ndipo unapata nyumbu kibao wasotea kazi ....
Leo hii hata ukishusha mshahara wa Mtumishi Grade 2 kwa asilimia 40%, halafu ukatangaza ajira
Kuna jobless wamesota kwa miaka 10, lakini bado watazivagabaa nafasi.....
Huyo anakaribia kustaafu, ana makasiriko sana na kikokotoa cha pensheni...Uzi unachoma km mwiba umeekuchoma sana