Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

Wazee wapo mbele ya Muda washachoka kuishi nyuma ya Muda wanakula Mafao wewe unakula nini ushastaafu?
Wewe ni mtu uliyeamua kuwa mjinga kwa sababu zako binafsi. Sitaweza kukubadilisha.
 
Sasa huko mbele mbele muda utaongea ngoja nisubiri kuona nilichoambiwa nyakati zinabadirika kwa haraka sana
Hio ni kwa uchumi wa dunia ya kwanza, na ujue hakuna dunia ya pili, kwa tulivyopigwa gapu,
Huko sekta binafsi ndio zinaendesha uchumi.....
Sisi ni dunia ya tatu, zaidi ya hapo labda tuwe wachuuzi, lakini hakuna sekta binafsi inakuja kuishinda serikali, kwa sababu serikali za dunia ya tatu, haziruhusu sekta binafsi iwe juu, tumeona kwa jiwe.....
 
Najaribu kujiuliza tu wakuu.

Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.

Sasa katika maongezi na dodoso za hapa na pale katika harakati za kutaka kuujua na kuufukunyua fukunyua ukweli nikauliza swali kuhusu masuala ya ajira kipindi hicho cha kwao huko miaka hio unatoka tu Shule au Chuo kazi mkononi kikubwa tu umesoma basi na kipindi hiki cha Artificial Intelligence, jibu nililopewa na mwenye jibu ni kwamba mjukuu wake ameenda Dodoma mara 60 tangu alipomaliza Chuo mwaka 2015 halafu mara zote hizo mpaka huu mwaka 2025 hakuna hata mara moja aliyobahatika kupata kazi Serikalini. Nikachoka tena, nikajaribu kuhoji zaidi na zaidi ili nipate majibu jibu nililopewa sitaki hata kuliandika hapa.

Sasa nikakaa chini nikaanza kujiuliza inamaana huko mbele mbele kuna kipindi kitafika Serikali itawatafuta watu wa kufanya kazi Serikalini kwa TOCHI? Yaani watu watahamishia nguvu zao na mawazo yao upande mwingine na sio kufanya kazi Serikalini tena km ilivyo sasa? Just imagine kijana tangu 2015 kasota mpaka 2025 yeye ni safari za Dodoma tu na hajawahi kubahatika hata mara moja kupenya pale juu zote anaambulia za uso tu.

Nimejaribu kuwaza ingawa sio mawazo yangu ni mawazo ya kuambiwa na nimesema km nilivyoambiwa. Wakati ananieleza alikua anaongea kwa uchungu sana. Mjukuu wake mmoja amefaulu kwenda form 5&6 ila kampiga marufuku kwenda huko kam-forwad VETA fasta akasomee masuala ya UMEME, nilipohoji kwanini alimkataza asiende 5&6 akanipa jibu kwamba 5&6 imeshapitwa na wakati hatutakiwi tena kuishi nyuma ya muda bali inatakiwa tuishi mbele ya muda.

Looking for Chinese Translator (Dar es Salaam)

We are looking for an experienced Chinese translator based in Dar es Salaam. Good budget for the right person. Must be reliable and able to handle professional translation work.

If interested or you have any recommendations please send CVs
.............
Watu watahamisha mawazo na akili

Nimewasilisha.
Big No. Why??
1st. education system.
As long as watu wanaenda shule na kupata elimu itokanayo na huu mfumo wa elimu from gvt ambao unandaa job seekers watapatikan tu hii ni guaranteed bro.
2nd. Majority mindsets
Wengi tumeshaaminisha kuwa na pesa & good life lazima uajiriwe esp gvt. So hizo nafas zinatafuta kaa vua. Bad lucky!! sasa now you know. Although probably it could be yes.
 
Hii hata sasa inatakiwa iwe hivyo. Nchi zingine ukiajiriwa serikali ina maana we huna kazi zako binafsi za kufanya. Serikali inabidi iajiri haohao wenye kazi zao kwa mshahara mkubwa unaovutia
 
Najaribu kujiuliza tu wakuu.

Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.

Sasa katika maongezi na dodoso za hapa na pale katika harakati za kutaka kuujua na kuufukunyua fukunyua ukweli nikauliza swali kuhusu masuala ya ajira kipindi hicho cha kwao huko miaka hio unatoka tu Shule au Chuo kazi mkononi kikubwa tu umesoma basi na kipindi hiki cha Artificial Intelligence, jibu nililopewa na mwenye jibu ni kwamba mjukuu wake ameenda Dodoma mara 60 tangu alipomaliza Chuo mwaka 2015 halafu mara zote hizo mpaka huu mwaka 2025 hakuna hata mara moja aliyobahatika kupata kazi Serikalini. Nikachoka tena, nikajaribu kuhoji zaidi na zaidi ili nipate majibu jibu nililopewa sitaki hata kuliandika hapa.

Sasa nikakaa chini nikaanza kujiuliza inamaana huko mbele mbele kuna kipindi kitafika Serikali itawatafuta watu wa kufanya kazi Serikalini kwa TOCHI? Yaani watu watahamishia nguvu zao na mawazo yao upande mwingine na sio kufanya kazi Serikalini tena km ilivyo sasa? Just imagine kijana tangu 2015 kasota mpaka 2025 yeye ni safari za Dodoma tu na hajawahi kubahatika hata mara moja kupenya pale juu zote anaambulia za uso tu.

Nimejaribu kuwaza ingawa sio mawazo yangu ni mawazo ya kuambiwa na nimesema km nilivyoambiwa. Wakati ananieleza alikua anaongea kwa uchungu sana. Mjukuu wake mmoja amefaulu kwenda form 5&6 ila kampiga marufuku kwenda huko kam-forwad VETA fasta akasomee masuala ya UMEME, nilipohoji kwanini alimkataza asiende 5&6 akanipa jibu kwamba 5&6 imeshapitwa na wakati hatutakiwi tena kuishi nyuma ya muda bali inatakiwa tuishi mbele ya muda.

Looking for Chinese Translator (Dar es Salaam)

We are looking for an experienced Chinese translator based in Dar es Salaam. Good budget for the right person. Must be reliable and able to handle professional translation work.

If interested or you have any recommendations please send CVs
.............
Watu watahamisha mawazo na akili

Nimewasilisha.
Serikali haiishiwi na watu..
 
Hilo laa serikali kutafuta wafanyakazi kwa tochi miaka ijayo ni ndoto za mchana. HAIWEZEKANI. Kumfoward VETA kijana mdogo wa miaka 16 aliyefaulu kwenda form 5 ni upunguani wa hali ya juu. VETA imetoa watu wangapi wenye ubunifu wa hali ya juu kuliko UDSM, UDOM au DIT?

Tusipende kuwaharibia watoto ndoto zao kwa kuwalazimisha waende VETA... sio kila kijana lazima awe fundi mchundo. Huyo babu anajuaje kama mjukuu wake ana kipaji kingine zaidi ya ufundi?

Veta inatoa wahitimu wenye ubunifu kuliko vyuo vikuu kwa upande wa ufundi .
Chuo kikuu.
Chuo chenye wabunifu sana ni Chuo cha ardhi upande wa majengo na DIT na Arusha Tec kwa sababu ya historia yake inayofanana na VETA katika mitaala yake japo kwa sasa binaanza kutoa product inayoelekea kuwa vya nadharia zaidi sio chuo.

Vyuo vingine vinakaribia kuwa vyoo.
Nenda arusha na Moshi uone ubunifu wa vijana wa Veta kwenye ufundi wa kila aina ukilinganisha na wahitimu wa vyoo vikuu wanaojazana kwenye kordo na bahasha kwa miaka 10 . Wakipata kaxi wanawaza wizi ,pombe na umalaya .
Hata wanaopata kazi kwenye kampuni binafsi za ujenzi asilimia 95 ni wa Veta na wengine wamekua ni wasimamizi wakuu na mafundi wakuu . Kazi zote za madaraja ujenzi wa majengo na miundo mbinu yote inajengwa na Vijana wa Veta .

Leo hii vijana wa Veta wakigoma kufanya kazi nchi nzima . Miradi na kazi zote za ujenzi na ufundi zitasimama .

MWALIMU Nyerere Baba wa Taifa alikua na nia njema sana na nchi hii kuliko Walafi na wezi wa kutafuta utajiri kwa haraka haraka walioamfuata nyuma yake ambao ndio waliopoteza dira ya nchi hii mpaka sasa.
Mwalimu alianzisha SIDO na ilikua na mwamko mkubwa sana .
Wazee wengi mafundi wa kutengeneza Motor na mashine za kusaga na kukoboaa walijifunza SIDO lakini leo sido haitangazwi kama goli la mama na mama hatukudai..

aliHilo laa serikali kutafuta wafanyakazi kwa tochi miaka ijayo ni ndoto za mchana. HAIWEZEKANI. Kumfoward VETA kijana mdogo wa miaka 16 aliyefaulu kwenda form 5 ni upunguani wa hali ya juu. VETA imetoa watu wangapi wenye ubunifu wa hali ya juu kuliko UDSM, UDOM au DIT?

Tusipende kuwaharibia watoto ndoto zao kwa kuwalazimisha waende VETA... sio kila kijana lazima awe fundi mchundo. Huyo babu anajuaje kama mjukuu wake ana kipaji kingine zaidi ya ufundi?

Hilo laa serikali kutafuta wafanyakazi kwa tochi miaka ijayo ni ndoto za mchana. HAIWEZEKANI. Kumfoward VETA kijana mdogo wa miaka 16 aliyefaulu kwenda form 5 ni upunguani wa hali ya juu. VETA imetoa watu wangapi wenye ubunifu wa hali ya juu kuliko UDSM, UDOM au DIT?

Tusipende kuwaharibia watoto ndoto zao kwa kuwalazimisha waende VETA... sio kila kijana lazima awe fundi mchundo. Huyo babu anajuaje kama mjukuu wake ana kipaji kingine zaidi ya ufundi?
 
Hili pia nililisema ila alichojibu na mimi nimeona yule yupo sahihi ni kwamba ila sitoandika hapa yaan sipo tayari kuandika alichoniambia ila nimemwelewa sana
Sasa mimi nitaonaje
 
Back
Top Bottom