Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

Wazee wapo mbele ya Muda washachoka kuishi nyuma ya Muda wanakula Mafao wewe unakula nini ushastaafu?
Wewe ni mtu uliyeamua kuwa mjinga kwa sababu zako binafsi. Sitaweza kukubadilisha.
 
Sasa huko mbele mbele muda utaongea ngoja nisubiri kuona nilichoambiwa nyakati zinabadirika kwa haraka sana
Hio ni kwa uchumi wa dunia ya kwanza, na ujue hakuna dunia ya pili, kwa tulivyopigwa gapu,
Huko sekta binafsi ndio zinaendesha uchumi.....
Sisi ni dunia ya tatu, zaidi ya hapo labda tuwe wachuuzi, lakini hakuna sekta binafsi inakuja kuishinda serikali, kwa sababu serikali za dunia ya tatu, haziruhusu sekta binafsi iwe juu, tumeona kwa jiwe.....
 
Big No. Why??
1st. education system.
As long as watu wanaenda shule na kupata elimu itokanayo na huu mfumo wa elimu from gvt ambao unandaa job seekers watapatikan tu hii ni guaranteed bro.
2nd. Majority mindsets
Wengi tumeshaaminisha kuwa na pesa & good life lazima uajiriwe esp gvt. So hizo nafas zinatafuta kaa vua. Bad lucky!! sasa now you know. Although probably it could be yes.
 
Hii hata sasa inatakiwa iwe hivyo. Nchi zingine ukiajiriwa serikali ina maana we huna kazi zako binafsi za kufanya. Serikali inabidi iajiri haohao wenye kazi zao kwa mshahara mkubwa unaovutia
 
Serikali haiishiwi na watu..
 


Veta inatoa wahitimu wenye ubunifu kuliko vyuo vikuu kwa upande wa ufundi .
Chuo kikuu.
Chuo chenye wabunifu sana ni Chuo cha ardhi upande wa majengo na DIT na Arusha Tec kwa sababu ya historia yake inayofanana na VETA katika mitaala yake japo kwa sasa binaanza kutoa product inayoelekea kuwa vya nadharia zaidi sio chuo.

Vyuo vingine vinakaribia kuwa vyoo.
Nenda arusha na Moshi uone ubunifu wa vijana wa Veta kwenye ufundi wa kila aina ukilinganisha na wahitimu wa vyoo vikuu wanaojazana kwenye kordo na bahasha kwa miaka 10 . Wakipata kaxi wanawaza wizi ,pombe na umalaya .
Hata wanaopata kazi kwenye kampuni binafsi za ujenzi asilimia 95 ni wa Veta na wengine wamekua ni wasimamizi wakuu na mafundi wakuu . Kazi zote za madaraja ujenzi wa majengo na miundo mbinu yote inajengwa na Vijana wa Veta .

Leo hii vijana wa Veta wakigoma kufanya kazi nchi nzima . Miradi na kazi zote za ujenzi na ufundi zitasimama .


MWALIMU Nyerere Baba wa Taifa alikua na nia njema sana na nchi hii kuliko Walafi na wezi wa kutafuta utajiri kwa haraka haraka walioamfuata nyuma yake ambao ndio waliopoteza dira ya nchi hii mpaka sasa.
Mwalimu alianzisha SIDO na ilikua na mwamko mkubwa sana .
Wazee wengi mafundi wa kutengeneza Motor na mashine za kusaga na kukoboaa walijifunza SIDO lakini leo sido haitangazwi kama goli la mama na mama hatukudai..


 
Hili pia nililisema ila alichojibu na mimi nimeona yule yupo sahihi ni kwamba ila sitoandika hapa yaan sipo tayari kuandika alichoniambia ila nimemwelewa sana
Sasa mimi nitaonaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…