Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Uchi ni nini kwa mujibu wa maandiko ya Dini?Mtu anayecheza uchi jukwaani anaalikwa Ikulu kwenye futari !
UtupuUchi ni nini kwa mujibu wa maandiko ya Dini?
Kwahiyo Utupu haufuturu? 😃Utupu
Ni laana kubwa na aibu mbele za MunguKwahiyo Utupu haufuturu? 😃
Sura zilizo nawili unasema wauza madafu. Acha upumbavuHata sisi wauza Madafu tumeingia mwanaView attachment 2932978
Naona wauza madafu wameendesha baiskeli kutoka mkuranga hadi ikulu !Hata sisi wauza Madafu tumeingia mwanaView attachment 2932978
Vya bure ni ghariNimenjoy sana Futari ya Mama
Nyie endeleeni kulia Lia sisi tunakula mema ya nchi
Endeleeni na ushamba wa kupiga picha nyumba ya Bonge yai
Wajinga wengi huabudu hao watuWatu maarufu ndio wanaoshawishi wapiga kura kuichagua CCM.
WANATUMIKA NA SERIKALI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Who is she?Mtu anayecheza uchi jukwaani anaalikwa Ikulu kwenye futari !
We kaharishe labda huo uvundo utapungua kichwani. Huoni hata haya kuandika huu upumbavu? Shame on youIkulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu
Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
YesIkulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu
Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?