Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Na ww unaamini hao ni wauza madafu? Sogea tu hapo ujaribu kushika huo mtandio uone madafu yanavogeukaHata sisi wauza Madafu tumeingia mwanaView attachment 2932978
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww unaamini hao ni wauza madafu? Sogea tu hapo ujaribu kushika huo mtandio uone madafu yanavogeukaHata sisi wauza Madafu tumeingia mwanaView attachment 2932978
Utupu unafuturu kitandani peke yake mkuu.Kwahiyo Utupu haufuturu? 😃
Kodi zako mkuu anazila Steve NyerereNani anagharamia hicho chakula cha Ikulu kwa hao watu??
Nimenjoy sana Futari ya Mama
Nyie endeleeni kulia Lia sisi tunakula mema ya nchi
Endeleeni na ushamba wa kupiga picha nyumba ya Bonge yai
Huyu dogo daaah .... Lini ameanza kuuza madafu? Miezi miwili ago tulikuwa naye nchi flani. Leo anauza madafu? Kweli hujafa hujaumbika. Alikuwa fresh kabisa kiuchumi.Hata sisi wauza Madafu tumeingia mwanaView attachment 2932978
Naona umejivika utakatifuNi laana kubwa na aibu mbele za Mungu
Ikulu imekuwa sehemu ya diliIkulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu
Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Aibu snWamemfuata msanii mwenzao!
Nk med it6yIkulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
K9jt .Mtu anayecheza uchi jukwaani anaalikwa Ikulu kwenye futari !
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Maambo babyNdugu EBSA COMPANY LTD.,Nk med it6y K9jt .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4]Huyu dogo daaah .... Lini ameanza kuuza madafu? Miezi miwili ago tulikuwa naye nchi flani. Leo anauza madafu? Kweli hujafa hujaumbika. Alikuwa fresh kabisa kiuchumi.