Kuna kipindi wasanii, viongozi wa dini na CHAWA wamewahi kuingia mara nyingi Ikulu kama sasa hivi?

Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu

Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Ikulu imekuwa sehemu ya dili
 
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.

Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Nk med it6y
Mtu anayecheza uchi jukwaani anaalikwa Ikulu kwenye futari !
K9jt .
 
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.

Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Nk med it6y K9jt .
Maambo babyNdugu EBSA COMPANY LTD.,
Meneja wa TRA Kinondoni anakukumbusha kufanya makadirio ya kodi ya Mapato ya mwaka 2024 yanayoendana na uhalisia wa biashara yako na kulipa kodi ya awamu ya kwanza kabla au mnamo tarehe 31 Machi 2024 ili kuepuka riba na adhabu zisizo za lazima.
Kodi yetu maendeleo yetu,
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu.”Ndugu EBSA COMPANY LTD.,

"Pamoja Tunajenga TaNdugu EBSA COMPANY LTD.,

"Pamoja Tunajenga Taifa Letu.”[emoji560]Ndugu EBSA COMPANY LTD.,
Meneja wa TRA Kinondoni anakukumbusha kufanya makadirio ya kodi ya Mapato ya mwaka 2024 yanayoendana na uhalisia wa biashara yako na kulipa kodi ya awamu ya kwanza kabla au mnamo tarehe 31 Machi 2024 ili kuepuka riba na adhabu zisizo za lazima.
Kodi yetu maendeleo [emoji560],
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu.”ifa Letu.”
 
Huyu dogo daaah .... Lini ameanza kuuza madafu? Miezi miwili ago tulikuwa naye nchi flani. Leo anauza madafu? Kweli hujafa hujaumbika. Alikuwa fresh kabisa kiuchumi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom