Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

Kama raia na western alikua nao na yupo nao mpaka sasa mwambieni aregeshe zile 20% za eneo lake zinazoshikiliwa na russia ama hazitaki
 
Vita ya siku tatu imekua ya miaka mitatatu sasa patamu apo. Kwani hurusi ndio kuna vijana mbona anachukua mpaka wabakaji
urusi hawatumii jeshi lao kwenye vita ndogo kama hii, wanatumia makampuni ya ulinzi na watu ambao wako loose loose mtaani kama wewe wanawatupa front line kwa mshahara wa kawaida tu 🐒
 
Katika jambo ambalo ni la kulikwepa ni la kuingia kwenye ubishani wa vita vya Urusi na Ukraine na mtu mwenye uchungu na hizo nchi. Matusi nje nje.
 
Mkuu JR16,

Kulifikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano chini ya usimamizi wa German,Turkey na hata Israel walishiriki pia.Rais wa Israel ndie aliyechukua assurance kwa PUTIN kwamba hatomuua Zelensky.
Lazima uelewe pia lengo la RUSSIA sio kuisambaratisha UKRAINE kama ambavyo ISRAEL anafafnya kwa GAZA.URUSI wanahitaji kufanya kazi na raia wa UKraine na ndio maana target zao siku zote ni Military Infrastracture na Viwanda vya kimkakkati ili kumlazimisha Zelensky aje kwenye meza ya mazungumzo.
 
waislam vichwan ni sufuri , lin Urusi alifanya mazungumzo ? je alihaidiwa nin kuondoka ?
Mbona huna akili?hata putin alishasema hivyo kwamba waliongea na Ukraine alafu kikao kilifanyika Istanbul na warusi wakaondoa majeshi.hivi huwezi kutumia hata akili kwamba Ukraine hawawezi urusi kijeshi?angalia counteroffensive offensive.
 
Stori nzuri, ila haina credible source.
 
Umemkumbusha vizur sana,baada ya kupamba moto huyo Zelensky alitaka mazungumzo ndipo Putin alipomwambia mwamuzi ni kupigana
 
Sitaki kuamini kwamba unajisahaulisha kuhusu kazi maridadi ya javelin. Na kama unasema walipaatana kusitisha mapigano na ukraine akavunja mapatano, nini kiliwazuia urusi kurudi mji mkuu na kuitwaa ukraine?
Hiyo javelin ilisaidia nini wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo?hawajarudi kwa sababu hawajaamua tu.
 
Umekunywa togwa sio bure......maana bia haziwi hivi........umemsahau javelin kiboko ya shobo dundo za mrusi
 
Umekunywa togwa sio bure......maana bia haziwi hivi........umemsahau javelin kiboko ya shobo dundo za mrusi
Hiyo javelin imesaidia nini urusi anaendelea kuchukua maeneo? javelin haiwezi kuwazuia urusi kwanza imeshakuwa krepa sio story tena.
 
mnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
Kwamba hatojiunga na NATO
 
Hiyo javelin imesaidia nini urusi anaendelea kuchukua maeneo? javelin haiwezi kuwazuia urusi kwanza imeshakuwa krepa sio story tena.
Ile ndio ilikuwa break yao.......sasa hivi kidogo kuna kusua sua kupereka silaha sababu ya uchaguzi marekani.........ngoja Biden arudi uone mpingo ukigeuka bua
 
Vita ya siku tatu imekua ya miaka mitatatu sasa patamu apo. Kwani hurusi ndio kuna vijana mbona anachukua mpaka wabakaji
Unamcheka russia katumia muda mrefu kuimaliza ukraine lakini haushangai israel+usa+uk+germany wameshindwa kuimaliza hamas eneo ukubwa wa mkoa mmoja wa tanzania huu tunaenda mwezi wa 4
 
Hizi picha ulipiga wewe? Kama jibu ni hapana,wewe na mada yako, 🚮 .
Wengine huku wanahangaishwa na vyuma,wengine maji,wengine umeme, na nyie mmekalia stori za vijiweni.
Ukraine au Russia wanawapa ripoti za vita yao kama kina nani? Ili muwasaidie nini labda! Mpo tu kama nyani,leo mnajibebisha msikojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…