kwamba kwenye simu yako ww unaamfuatliaga vita ya Urusi vs NATO ? wewe kichwan ni hamnazoMarekani na washirika wake baada ya KUSHINDWA Vita Ukraine wameogopa fedheha, hivyo ktk BAROZI zake wamefungua kitengo Cha propagandah, Vijana wanakweda kupatiwa Simu janja na Gb za kutosha kupotosha uhalisia wa Vita ya Urusi na NATO.
Kila Mwezi kila kijana anapokea USD 65 na simu ya bure yenye Gb za kutosha.
Hivyo wasiwapotezee muda Kusoma habari za propagandah sababu wao wapo kazini, tena ni Dunia nzima wamefungua Dirisha la propagandah.
ni ukraine alishambulia wkt urusi walienda kyiev kupiga story ( alisikika mvaa kobaz mmoja )Na vipi kuhusu maiti za wanajeshi wa russia waliouliwa kama kuku pale Kyiv?
kweli mijusi mpo wengi sana humu 😀another lost brain , sufuriii nyingine Iran waje waibebe waipeleke kwenye ground huko Gaza
wenzio wanauwa na kuangamizwa na unawang"ang"aniza na wachache waliobaki pia wakauawe 😎kwahiyo hoja sio jeshi la urusi kupigana bali ni majenerali wangap wamekufa kila upande ? ila wavaa kobaz mnajua kukimbia utopolo wenu
Vilienda vilipotakiwa kwendavipo wap sasa ? tuanzie na hivyo halaf tuje kwenye msafar wenyew
Kama sisi buyu basi wewe papai kabisa yaaninyie ni buyu kichwan ma bokoharam ndo wanataka muwe matahira kabisa , wkt waarab wenye dini wanaifuata ilimu dunia huko huko kwa makafir
Kama ukimuona muislam mwehu basi ujue wewe unamzidi uwehumuislam ni mwehu sana , kutoka km 11 kuongia kyiev hadi leo wapo mpakan huko ila bado jivaa kobaz linapata nguv za kuongea
Alitoa ahadi ipi kwa dunia hem tujuze[emoji848]?Kifupi tuu ni kwamba;Mrusi angetimiza ile ahadi aliyoitoa kwa dunia hapo angeeleweka.
Jambo lolote usipoogopa uwezekano wa kulishinda ni mkubwa hata kama utashinda ukiwa na majeraha.
HIlo la mazungumzo sidhaniutakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
vita inayo Isha nusu saa ni NUCLEAR WAR , huwezi ukawavamia wenyeji kwenye nchi yao wana silaha nzito wana intelligence nzito rahisi rahisi , halafu pia Ukraine umekuwa ikijiandaa na vita ya kurudisha Crimea toka 2014 kwa msaada wa NATO .......Miaka miwili iliyopipa jiji la Kyyiv lilizingirwa na majeshi ya Russia.
Wote tulishuhudia msafara mrefu wa magari ya kijeshi yakiwa ndani ya Ukraine.
Uvamizi ule ulitisha kwa kweli. Mimi binafsi niliona kabisa mwisho wa utawala wa Zelensky.
Wote tuliona majeshi ya Urusi yakiwa kila Kona ya Ukraine.
Cha ajabu, wote tulishuhudia unasiri wa Zelensky Aki mobilise raia wa Ukraine kwamba wasikubali. Wapigane. Kweli kama utani wote tuliona ule msafara ulivyoyayuka kama barafu.
Wiki iliyopita nimemuona waziri mkuu wa UK, Rishi Sunak akilihutubia bunge la Ukraine. Nilishangaa
Kwenye hotuba yake alisema miaka miwiri iliyopita, majeshi ya Urusi yalikuwa kilometer chache toka hapo bungeni.
Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.
sijui wenzetu habari zenu mnapata wapi......mnapenda kutunga story asee , Urusi hajawai rudi nyuma kisa makubaliano maana tukikuhoj kwenye hayo makubaliano kipi alihaidiwa Urusi ili arudi nyuma , hutokuwa na jibu , achen kuwa wanapropagandist wa Urusi bila malipo
huwa nakuona una akili na mfuatiliaji wa mambo, kumbe nawe ni kundi lile lile la wajinga......Kwahiyo Urusi waliondoka Kiev kisha wakaendelea kupigana kwingineko? Huo si ni uduanzi, unaachaje kuteka mji mkuu ili ukapigane vichochoroni.
Vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea Kiev viliharibiwa na majeshi ya UkraineView attachment 2872415View attachment 2872416
nimeweka, soma post #100, alafu jiongeze zingine tafuta mwenyewe zipo testmony nyingi sema nimesahau link,Stori nzuri, ila haina credible source.
utakua unachanganya za bucha.... mwe mnasoma habari jamaniNa vipi kuhusu maiti za wanajeshi wa russia waliouliwa kama kuku pale Kyiv?
Uliyeyushwa na Javelin za malikia wa uingerezaUliemsaq
Msafara km 60 uliyeyushwa acha fix kijana wetu