Mimi nina kanuni yangu kwamba sipokei wala sitoi offer ambayo sijui gharama yake.Hata sikuwaza kwamba anapiga pombe ya bei mbaya so wazo la bei halikuwepo kabisa. Ila alinifundisha sana kitu siku ile yule mkuda.
Uko makini mkuu, au nawewe yalikukuta? Maana wengi tunalearn from mistakesMimi nina kanuni yangu kwamba sipokei wala sitoi offer ambayo sijui gharama yake.
uongo mtupu..Wakati mwingine uwa unafikiria mkuu, watu hufuata company na mademu wazuri. Mademu moto wako hizo sehemu ulizotaja, Tegeta, Kurasini, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Mbagala, Mtoni na Uswahilini kote. Ukitaka kucheka na kuchukia mademu fika sehemu za washua kama Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, na nyinginezo uone jinsi watoto wa kishua walivyo na sura za Kitarime au Unyakyusani....utalia. Hii ndiyo sababu ya wazee wa kishua na wenye nazo kukimbilia uswazi kwenye raha za uhakika.
Mimi niliweka principle tu si kwamba yamenikuta wala nini.Uko makini mkuu, au nawewe yalikukuta? Maana wengi tunalearn from mistakes
Wakati mwingine uwa unafikiria mkuu, watu hufuata company na mademu wazuri. Mademu moto wako hizo sehemu ulizotaja, Tegeta, Kurasini, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Mbagala, Mtoni na Uswahilini kote. Ukitaka kucheka na kuchukia mademu fika sehemu za washua kama Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, na nyinginezo uone jinsi watoto wa kishua walivyo na sura za Kitarime au Unyakyusani....utalia. Hii ndiyo sababu ya wazee wa kishua na wenye nazo kukimbilia uswazi kwenye raha za uhakika.
Hahaha tunajifunza kutokana na makosa bro.Hata sikuwaza kwamba anapiga pombe ya bei mbaya so wazo la bei halikuwepo kabisa. Ila alinifundisha sana kitu siku ile yule mkuda.
Hahaha vipi Kilimanjaro MkuuSerengeti Ni uzazi wa mpango kwa wanaume. Ikikuzoea huku chini itakua mtambo wa kutolea mkojo tuu.
Especially kale ka rangi ya chama
Mi nalewa muziki na zile taa taaUnategemea unakunywa na nani na katika mazingira gani. Au??
π€£π€£π€£Chupa ndogo ni 40 k, haina miujiza yoyote, ni kama tu Pisi kali ageukavyo gogo kitandani
nimeacha kabisa Siku hizi nakunywa via local tu,Vodka sijui Wine Spirit hizo sigusi kabisaDuhhh usije kufa unajiona ujue hehe
Mi nalewa muziki na zile taa taa
nikinywa bila Hivyo ni Sawa nakunywa maji
ntakutoa twende mwenye makelele mzuka upande...sijawahi pata Vibe ndani aiseeuko na mchepuko taa za rangi muziki nyororo kwa mbali kwa raha zenu. Mnacheza na kunywa kabla ya kuanza kupokea dushe.ππ
Uniite nikuite, nahakikisha nina mzigo wa kutosha, hayajawahi nikuta na sipendi yatukuteUko makini mkuu, au nawewe yalikukuta? Maana wengi tunalearn from mistakes
Pole mkuu,,vp hukukutwa na ile ya kusex bila kutarajia?Nnachojua tu Nilikunywa Hennessey nikashushia na ile wine ya kwenye kidumu nikaishia kulala kwenye ngazi..siiijui zaidi
Mzee baba ukinywa Ace of Space ni Sawa na kunywa Toyota Corolla 100/110.Hio Ace of Spade ukinywa unalewa miaka mingapi Chief? πππ
I"ll second you bruh!! Through 2021!! And aboveNakunywa Scotch whisky, nikibadili gin and tonic.
Henessy ni pombe ninazowanunulia watu tu mimi si mnywaji.
Ila kuna miaka napumzika mwaka mzima bila kugusa, 2021 napumzika.