Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kama huna hela unaanzaje nunua hennessy??, na anaekunywa hio kitu ofcoz anahela mzee. Hennessy ni bonge la kiburudisho acha mawazo ya kimaskin
Babu yangu nina uwezo wa kununua ya bei yoyote kwa maisha yangu
ila kwa pande hizi za maduka yetu kuna option nyingi kupita kiasi kwahiyo hiyo Hennesy iko kwenye section ya kawaida tu
 
[emoji1787][emoji1787] ok
 
Hennessy sio whisky ni Superior Brandy (kuna regular na superior brandy)

ipo katika kundi la alcoholic spirits

ni superior brandy inayotengenezwa katika jimbo la Cognac TU. nchini France

ikitengenezwa nje ya hilo jimbo haitaitwa Cognac labda under licence

Any brandy ni product ya grapes (zabibu) only (process yake nitakupa next time) tofauti na whiskey inayotokana na cereals

Neno Hennessy ni brand name tu kama kilimanjaro, safari, castle, serengeti, bingwa, heineken, windhoek n.k. - zote ni lager beer
 
Nilichanganya kvant ,castle lite , budweiser, serengeti lite, red label some sips of henny.. same night na shots za tequila .. uo upele nikapata[emoji51][emoji51].
 
Ndio niko maabara hapa najaribu kuitest ila majibu niliopata mpaka sasa ni kuwa haijapishana sana na Valeur Brandy kwenye swala la ladha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkemia mkuu


Lkn shuleni ulisema sayansi ngumu
Ni kweli hasa kubalance chemical ikweshen zilikuwa kipengele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kwa sasa nachanganya kama mkemia mkuu wa serikali
Hii ni kwa ajili ya kupoozea rejeta
 
Labda bei
Kuna sehemu nilienda inauzwa karibu 150K..
Ndo wadada wakinunua wanarusha video hadi Instagram wameikumbatia...

Naona ni namna ya kujiona expensive Kwa ma slay Queen..


Bar inauzwa 180,000 bar zingine wanauza 200,000
 
Maisha hayalingani haya.... wakati kwa wengine 50k ni budget ya mwezi, kwa wengine ni kichupa kidogo cha Hennessy

Kila mtu aishi kwenye lane yake tuu
Eeh mrembo, ni matumizi tu yanatofautiana wengine ni petrol ya week nzima kuendea job!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…