Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kibongo kwenye 150k ambayo ni kama $60+ hv kwa marekani ambayo ni hela ndogo sana tofauti na Ace of spade zinauzwa $900 na kuendelea
RΓ©my Martin XO niliikuta sehemu hapo dar inaenda kwa $190 imetulia sana aisee ile Remmy Martin Vsop yenyewe sikuipenda sana.
 
Hapana, msingi ni mtu kupata mix of taste kati ya K vant na any other taste.

Lakini sishauri unywaji K vant mixed na energy drink, insteady mnywaji atumie kinywaji kama Tonic water au soda water.

Over
Kama una mix energy na k vant siku za dudu kusimama zina hesabika
 
Namkumbuka huyo boss infact na Mimi ndie aliyeni influence kuipenda hii pombe. First time kwenye ile baa yao pale karibu na NBC Kisha sebule tukaihamishia AICC club kaloleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…