SHETANI TU ANAJIINUA. Pombe haijawahi kuwa na chochote special zaidi ya hadithi za kudanganyana
Wewe umejifunza wapi habari za Kvant mkuu?Hapana, msingi ni mtu kupata mix of taste kati ya K vant na any other taste.
Lakini sishauri unywaji K vant mixed na energy drink, insteady mnywaji atumie kinywaji kama Tonic water au soda water.
Over
Ukinywa ace of spade ngeli unayotema ni tofauti na ile ukipiga K vant?Kibongo kwenye 150k ambayo ni kama $60+ hv kwa marekani ambayo ni hela ndogo sana tofauti na Ace of spade zinauzwa $900 na kuendelea
JIDANGANYEPombe inatumika hadi makanisani halafu unasema haina chochote special!
Vladmir ndo mchumba kabisa bora ungesema konchok vant ni binti tu kwa vodka vladmir aka Babu mandevu.
Wakati mwingine uwa unafikiria mkuu, watu hufuata company na mademu wazuri. Mademu moto wako hizo sehemu ulizotaja, Tegeta, Kurasini, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Mbagala, Mtoni na Uswahilini kote. Ukitaka kucheka na kuchukia mademu fika sehemu za washua kama Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, na nyinginezo uone jinsi watoto wa kishua walivyo na sura za Kitarime au Unyakyusani....utalia. Hii ndiyo sababu ya wazee wa kishua na wenye nazo kukimbilia uswazi kwenye raha za uhakika.Sometimes ni hypes tu na trend.
Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.
Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
Thru drink exprience mkuu, am now expert!!Wewe umejifunza wapi habari za Kvant mkuu?
Mwagona gogo?! Umwinza lwene?!Thru drink exprience mkuu, am now expert!!
Mbona wengine ilikua inatupatiaga hangover sasa?40% ABV
Hizi ni zile pombe zilizotengenezwa with the expectation that wanaozinywa wana deals za millions next morning so they need to wake up fresh and sober.
Nothing really special honestly
View attachment 1663463
Scotch over here.Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu fulani maarufu waliokuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.
So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisadia kuwa ni pombe ya hadhi fulani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.
-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Different people, different biochemistryMbona wengine ilikua inatupatiaga hangover sasa?
Labda. Ama ilinikataa tu. Maana nilivyoona hatupatani nikaacha kuinywa since 2016Different people, different biochemistry
Uwezo mdogo labda?
UnderstandableLabda. Ama ilinikataa tu. Maana nilivyoona hatupatani nikaacha kuinywa since 2016
Mwasavako....ndauli use ku inboxMwagona gogo?! Umwinza lwene?!
Nimwinza, manyi wewe?!
Ha ha ha ha ha ha ha haMwasavako....ndauli use ku inbox