Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #21
Nilijuwa watetezi hamuwezi kukosekana, hebu nieleze tu miradi ya kanisa katoliki ina faida gani kwa kanisa? Na ile benki yetu ya Mkombozi inalifaidisha vipi kanisa?Toa ndugu toa ndugu..ulichonacho..halafu unataka usitoe hilo kanisa litapelekaje injili..unataka usitoe hilo kanisa litalipaje wahudumu..unataka usitoe hilo kanisa litalipaje bills tofauti kama umeme na maji...
Wala hatubishanii mahesabu, hao wana fungu lao, kanisa lina kamati ya fedha wala hamna shida mahesabu, tatizo ni kukamuwa watu kupita hali halisi na vipato vya Watanzania.Hizo fedha wanapelekaga wapi ukizingatia jamaa wanasema hawaruhusuwi kuoa na wenzao hawaruhusiwi kuolewa?
Wakati unatusifia Waislamu, sisi huku wenyewe tunatamani tungekuwa na moyo wa kutoa sadaka kama wenu.Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana...
Ni vigumu kwa vijana wa kizungu kuwaswaga kama tunavyofanyiwa waumini wa Tanzania.Ndio maana nchi zilizoendelea makanisa yamegeuzwa museums watu walishashtuka siku nyingi kwamba huu wa sasa ni upigaji. Huku kwetu ndio bado watu wameng'ang'ania ila taratibu tutakuja kuelewana tuu.
Imeisha hyo...Uzuri wake ni kuwa usipotoa si kosa la jinai.
Upande wa pili, wazikaji ni kuanzia kwa wanafamilia na wanafunzwa kuzika.Ukifa hawakuziki. Hapo ndipo wametushika pabaya
Tatizo la waislamu ni dogo sana, ni matter of generation tu.Wakati unatusifia Waislamu, sisi huku wenyewe tunatamani tungekuwa na moyo wa kutoa sadaka kama wenu.
Sisi ni changamoto watu wazito kutoa sadaka, madrasa na misikiti mingi inahitaji ukarabati na shule pia. Ila watu wetu wazito mno wa kutoa sadaka. Sadaka mpaka zitokee kwa waarabu ndio madrasa zijengwe
Mkuu, hata ukitoa unaweza usipewe huduma vilevile!Hujui waroma ww kama hutoi na ww huduma hupewi
Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana...