REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
πππππMkuu, hata ukitoa unaweza usipewe huduma vilevile!
Mimi mama yangu mzazi alikua kiongozi wa jumuia huko kijijini na alikua mtoa sadaka asie na kifani, shughuli zote za ujenzi wa kanisa alishiriki kikamilifu kwa maisha yake yote mpaka amezeeka...
Bora AnglicanaHali ni mbaya kwakweli ....lutheran ndo balaa zaidi
Duh kumbe mnaambiwa ivo poleni sanaaKuna ile ya kuwataka waumini waliofiwa na wapendwa wao eti watoe sadaka kubwa kubwa kadri wawezavyo kama kikokotoo cha kuwawezesha hao wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki kupata ahueni ya maisha huko kaburini. Yaani mimi hii haijawahi kuniingia akilini kabisa.
Ila huduma za kiroho hupati na ukifa hatuji.Uzuri wake ni kuwa usipotoa si kosa la jinai.
Mkuu kwa iyo situation ilokukuta haihitaji kufikiria mara 2 kua kanisa linakunyonya.Mkuu, hata ukitoa unaweza usipewe huduma vilevile!
Mimi mama yangu mzazi alikua kiongozi wa jumuia huko kijijini na alikua mtoa sadaka asie na kifani, shughuli zote za ujenzi wa kanisa alishiriki kikamilifu kwa maisha yake yote mpaka amezeeka...
Yaani hapo ndo kuna shida hizo faida wanazopata kutoka kwenye miradi kama mashule, mahospitali, mavyuo na mabenki na miradi mingine mingi wanapeleka wapi?Ni vigumu kwa vijana wa kizungu kuwaswaga kama tunavyofanyiwa waumini wa Tanzania.
Uzuri wa wazungu wana reasoning, ndio maana hata walipoleta hii dini walikuwa wanajenga wao makanisa na hospitali target yao ilipotia wakavuta end break...
Zamani makanisa yalikuwa yanapata sana misaada toka nje lakini kwa sasa nje hawatoi sana misaada (wanasema mioyo yao kuhusu dini imepoa) so inabidi makanisa yajiendeshe yenyewe. Hapo ndipo uhitaji mkubwa wa hela unapoanzia
Umesema umejikuta tu upo kwenye UkristoLeo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana.
To declare interest mimi nimezaliwa nimejikuta tu ni mkatoliki kwahiyo nipo hivyo mpaka leo, mahusiano yangu na Mungu naamini ni mazuri kiroho lakini mahudhurio yangu kanisani kwa miaka ya karibuni si mazuri huwa nakwenda na kuacha kwenda...
Duuh, pole mkuu ila kiukweli kwa miaka ya karibuni,katoliki kuna shida nyingi sana,lakini kwa vile waumini haturusiwi kuhoji basi mambo yanakwenda kama yalivyopangwa,michango imekua mingi kupitiliza,zamani mtu anajivunia kuwa mkatoliki kutokana kutokana na jinsi kanisa linavyoendeshwa.Mkuu, hata ukitoa unaweza usipewe huduma vilevile!
Mimi mama yangu mzazi alikua kiongozi wa jumuia huko kijijini na alikua mtoa sadaka asie na kifani, shughuli zote za ujenzi wa kanisa alishiriki kikamilifu kwa maisha yake yote mpaka amezeeka...
Itakuwa ni huko kwenu huku kwetu hakuna mambo hayoUkishaingia mfumo wa jumuia lazima utowe pesa ya kuwa mkatoliki kila mwezi.
Pili harambee za kipuuzi na sadaka nyingi kwenye ibada inaondoa system ya kikatoliki ambayo tulizoea ibada ya misa ya jumapili ni lisaa limoja na nusu tu na ikizidi kwa special case ni masaa mawili tu, sasa kwa huu upumbavu ulioanza ibada inakwenda mpaka masaa matatu, misa ya kwanza mnaingia saa 12 asubuhi mnatoka saa mbili na kitu.
[emoji2][emoji2][emoji2] yani waliotuletea dini mioyo yao imepoa?,Zamani makanisa yalikuwa yanapata sana misaada toka nje lakini kwa sasa nje hawatoi sana misaada (wanasema mioyo yao kuhusu dini imepoa) so inabidi makanisa yajiendeshe yenyewe. Hapo ndipo uhitaji mkubwa wa hela unapoanzia
Huu sijui ni uzi wangapi kuletwa huku kuhusiana na kanisa katoliki tena mambo haya haya sadaka zisizokuwa na mwishoNilikuwa najiuliza kwanini uzi kama huu haujawahi tua JF!!?? at last umekuja.........
Labda tunawachangia fedha ili kununua hayo magari na nyumba baada ya wao pia kuwa wamepiga magoti na kuomba sana!Mkuu unaweza nisaidia sadaka hizi tisa zilikua zipi na mlitoa kwa wakati gani?. Ili ni muhimu usiache kujibu.
Mimi kwangu ilishabaki na sali sala binafsi nyumba. Ikiwa tofauti mara moja moja naenda kanisani nasali na kuondoka. Ukweli michango imekua mingi imefika hatua hadi kanisa wanajisajili kulipa kwa mpesa au tigo pesa. Huwa siaangaiki ata na mchango mmoja...
Alie design hiyo business model ya church business ni genius ndio maana alihakikisha kuna njia za kukubana ili usiache kutoa hela maisha yako yote.Ila huduma za kiroho hupati na ukifa hatuji.